Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu dogo huwa ananisitisha 🤔 hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.

Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
 
Kiukweli huyu dogo Mimi hua simkubali kabisa bora tumtoe kwa mkopo mrefu kwenye timu ambayo atajihakikishia namba kuliko kubaki yanga ataua tu kipaji chake...
Pale mbele kuna King mayele,makambo,Crispin Ngushi sasa huyo dogo anacheza wapi??? Uwezo anao ila ukilinganisha na hao wagombea namba wenzake anaonekana mwepesi kama nyoya la njiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…