Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG-20220214-WA0000.jpg
 
Huyu dogo huwa ananisitisha 🤔 hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.

Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
20220214_234940.jpg
 
Huyu dogo huwa ananisitisha [emoji848] hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.

Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
View attachment 2119755
Kiukweli huyu dogo Mimi hua simkubali kabisa bora tumtoe kwa mkopo mrefu kwenye timu ambayo atajihakikishia namba kuliko kubaki yanga ataua tu kipaji chake...
Pale mbele kuna King mayele,makambo,Crispin Ngushi sasa huyo dogo anacheza wapi??? Uwezo anao ila ukilinganisha na hao wagombea namba wenzake anaonekana mwepesi kama nyoya la njiwa...
 
Back
Top Bottom