Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikosi cha leo natamani kiwe hivi...

Golini;Msheri

Mabeki
Paul godfrei,Nondo,Bacca,Brysson

Viungo
Bangala,Aucho,sureboy

Washambuliaji
Ambundo,mayele,chiko ushindi.

Wewe una maoni gani..?
 
Ooh!! Hivyo shida ni kuwa anaocompete nao wote wamemzidi ubora ila sio kwamba ni mbovu.

Lakini kama usemavyo angeenda kuendeleza kipaji sehemu nyingine kuliko kuwa Mtalii tu mana amekuwa kama mtalii sasa.
 
Kikosi cha leo natamani kiwe hivi...

Golini;Msheri

Mabeki
Paul godfrei,Nondo,Bacca,Brysson

Viungo
Bangala,Aucho,sureboy

Washambuliaji
Ambundo,mayele,chiko ushindi.

Wewe una maoni gani..?
Hivi Mkuu ulishaanza kumuelewa Chiko Ushindi mie bado etu kidogo kwanza kuona anafaa kwenye first eleven kwani hajachangamka japo anajitahidi kutengeneza nafasi.
 
Hivi Mkuu ulishaanza kumuelewa Chiko Ushindi mie bado etu kidogo kwanza kuona anafaa kwenye first eleven kwani hajachangamka japo anajitahidi kutengeneza nafasi.
Chiko ni mzuri kama ulitazama kwa makini ile gemu yetu na mbeya city jamaa alileta uhai flani alipoingia kuliko jesus
 
Chiko ni mzuri kama ulitazama kwa makini ile gemu yetu na mbeya city jamaa alileta uhai flank alipoingia kuliko jesus
Nakumbuka pia kuna nafasi moja hivi alitengeneza kama sijakosea ambayo ingetupa matokeo ila tu ndo haikuwa bahati kwetu.

Lakini ni kama waliingia na Makambo wa wakati mmoja au nimechanganya madawa.
 
Nakumbuka pia kuna nafasi moja hivi alitengeneza kama sijakosea ambayo ingetupa matokeo ila tu ndo haikuwa bahati kwetu.

Lakini ni kama waliingia na Makambo wa wakati mmoja au nimechanganya madawa.
Yaaa unajua Chiko ni mjanja na anajua kutake nafasi ujue hata kutengeneza nafasi na kukosa ujue huyo mchezaji anajua kukaa nafasi sahihi wakati sahihi... Bifu langu na Moloko ni kua hajui kufosi kuingia kwenye box hapo ndo chiko anapomzidi pia majaro ya chiko yana effect nazani akiwa anaanza ushindi utakua unakuja mapema kabisa..
 
Mi naona tu bora Yanga wasingeposti hii inshu wangetulia ili na sisi tulipize ndo heshima ingerudi...
Ikiwa kwetu hapo ndo watachukua hatua.

Unamkumbuka mwaka jana sijui juzi kuna mdada mmoja hivi alifungiwaga mwaka mzima kutokuingia uwanjani kama sijakosea kisa sijui waliwapiga kama sio kuwafanyia fujo wale mashabiki mabonge wao unakumbuka?
 
Ikiwa kwetu hapo ndo watachukua hatua.

Unamkumbuka mwaka jana sijui juzi yule kuna mdada mmoja hivi alifungiwaga mwaka mzima kutokuingia uwanjani kama sijakosea kisa sijui waliwapigaga wale mashabiki mabonge wao unakumbuka?
Nakumbuka lakini wale mabonge ndo walianzisha vurugu na kama unakumbuka pia hawa simba mechi ya simba na Nkana walipiga tena mashabiki wetu mi naona bora kinuke tu watu wapasuane ndo heshima itarudi
 
I
Huyu dogo huwa ananisitisha 🤔 hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.

Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
View attachment 2119755
Dogo bado anamature huyo ni program ya muda mrefu ambayo matunda yake utayaona baadae sana
 
Nakumbuka lakini wale mabonge ndo walianzisha vurugu na kama unakumbuka pia hawa simba mechi ya simba na Nkana walipiga tena mashabiki wetu mi naona bora kinuke tu watu wapasuane ndo heshima itarudi
Hahahahaaaa. Tukianza kupasuana itakuwa sio mpira tena huo. 😀😀😀
 
Yap na mi naona bado n average player
Kwa team kubwa kama yeng africans hatuna time ya kutumia mchezaji ambaye anatafuta namba au anacheza ilhali bado anakulia kiwanjani that's why tukatumia short term plan kusajili wachezaji kama kina mayele, moloko, djuma, aucho, bangala nk kwa maramoja wachezaji ambao wanakupa matokeo bila kutumia muda mwingi kuwafundisha wacheze vipi uwanjani
 
Yap huo ndo ukweli halisi otherwise awe na kitu cha ziada
 
Angetafuta timu ndogo kwanza kwa Yanga ni kama anaua kipaji aisee.
Kutokana na pressure ya team kwa sasa katika kuukimbiza ubingwa na ukiangalia ugumu wa namba basi anatakiwa achague moja either kusubiri surprise ya mwalimu au aangalie future yake mahali pengine kama ulivyosema ila kwa mimi naamini bado nafasi yake ipo japo si sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…