Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh!! Hivyo shida ni kuwa anaocompete nao wote wamemzidi ubora ila sio kwamba ni mbovu.Kiukweli huyu dogo Mimi hua simkubali kabisa bora tumtoe kwa mkopo mrefu kwenye timu ambayo atajihakikishia namba kuliko kubaki yanga ataua tu kipaji chake...
Pale mbele kuna King mayele,makambo,Crispin Ngushi sasa huyo dogo anacheza wapi??? Uwezo anao ila ukilinganisha na hao wagombea namba wenzake anaonekana mwepesi kama nyoya la njiwa...
Hivi Mkuu ulishaanza kumuelewa Chiko Ushindi mie bado etu kidogo kwanza kuona anafaa kwenye first eleven kwani hajachangamka japo anajitahidi kutengeneza nafasi.Kikosi cha leo natamani kiwe hivi...
Golini;Msheri
Mabeki
Paul godfrei,Nondo,Bacca,Brysson
Viungo
Bangala,Aucho,sureboy
Washambuliaji
Ambundo,mayele,chiko ushindi.
Wewe una maoni gani..?
Chiko ni mzuri kama ulitazama kwa makini ile gemu yetu na mbeya city jamaa alileta uhai flani alipoingia kuliko jesusHivi Mkuu ulishaanza kumuelewa Chiko Ushindi mie bado etu kidogo kwanza kuona anafaa kwenye first eleven kwani hajachangamka japo anajitahidi kutengeneza nafasi.
Mi naona tu bora Yanga wasingeposti hii inshu wangetulia ili na sisi tulipize ndo heshima ingerudi...Wangekuwa wao sasa. [emoji848]
View attachment 2119965
Nakumbuka pia kuna nafasi moja hivi alitengeneza kama sijakosea ambayo ingetupa matokeo ila tu ndo haikuwa bahati kwetu.Chiko ni mzuri kama ulitazama kwa makini ile gemu yetu na mbeya city jamaa alileta uhai flank alipoingia kuliko jesus
Yaaa unajua Chiko ni mjanja na anajua kutake nafasi ujue hata kutengeneza nafasi na kukosa ujue huyo mchezaji anajua kukaa nafasi sahihi wakati sahihi... Bifu langu na Moloko ni kua hajui kufosi kuingia kwenye box hapo ndo chiko anapomzidi pia majaro ya chiko yana effect nazani akiwa anaanza ushindi utakua unakuja mapema kabisa..Nakumbuka pia kuna nafasi moja hivi alitengeneza kama sijakosea ambayo ingetupa matokeo ila tu ndo haikuwa bahati kwetu.
Lakini ni kama waliingia na Makambo wa wakati mmoja au nimechanganya madawa.
Ikiwa kwetu hapo ndo watachukua hatua.Mi naona tu bora Yanga wasingeposti hii inshu wangetulia ili na sisi tulipize ndo heshima ingerudi...
Nakumbuka lakini wale mabonge ndo walianzisha vurugu na kama unakumbuka pia hawa simba mechi ya simba na Nkana walipiga tena mashabiki wetu mi naona bora kinuke tu watu wapasuane ndo heshima itarudiIkiwa kwetu hapo ndo watachukua hatua.
Unamkumbuka mwaka jana sijui juzi yule kuna mdada mmoja hivi alifungiwaga mwaka mzima kutokuingia uwanjani kama sijakosea kisa sijui waliwapigaga wale mashabiki mabonge wao unakumbuka?
Dogo bado anamature huyo ni program ya muda mrefu ambayo matunda yake utayaona baadae sanaHuyu dogo huwa ananisitisha 🤔 hivi asivyopewa nafasi si ndio anazidi kuua soka lake sababu zile game mbili tatu alizopewa nafasi mwanzo alionekana ana kitu.
Wampage nafasi ndo hazina zenyewe hizi kwa Soka la Tanzania.
View attachment 2119755
Yap na mi naona bado n average playerI
Dogo bado anamature huyo ni program ya muda mrefu ambayo matunda yake utayaona baadae sana
Hahahahaaaa. Tukianza kupasuana itakuwa sio mpira tena huo. 😀😀😀Nakumbuka lakini wale mabonge ndo walianzisha vurugu na kama unakumbuka pia hawa simba mechi ya simba na Nkana walipiga tena mashabiki wetu mi naona bora kinuke tu watu wapasuane ndo heshima itarudi
Angetafuta timu ndogo kwanza kwa Yanga ni kama anaua kipaji aisee.I
Dogo bado anamature huyo ni program ya muda mrefu ambayo matunda yake utayaona baadae sana
Kwa team kubwa kama yeng africans hatuna time ya kutumia mchezaji ambaye anatafuta namba au anacheza ilhali bado anakulia kiwanjani that's why tukatumia short term plan kusajili wachezaji kama kina mayele, moloko, djuma, aucho, bangala nk kwa maramoja wachezaji ambao wanakupa matokeo bila kutumia muda mwingi kuwafundisha wacheze vipi uwanjaniYap na mi naona bado n average player
Yap huo ndo ukweli halisi otherwise awe na kitu cha ziadaKwa team kubwa kama yeng africans hatuna time ya kutumia mchezaji ambaye anatafuta namba au anacheza ilhali bado anakulia kiwanjani that's why tukatumia short term plan kusajili wachezaji kama kina mayele, moloko, djuma, aucho, bangala nk kwa maramoja wachezaji ambao wanakupa matokeo bila kutumia muda mwingi kuwafundisha wacheze vipi uwanjani
Kutokana na pressure ya team kwa sasa katika kuukimbiza ubingwa na ukiangalia ugumu wa namba basi anatakiwa achague moja either kusubiri surprise ya mwalimu au aangalie future yake mahali pengine kama ulivyosema ila kwa mimi naamini bado nafasi yake ipo japo si sasaAngetafuta timu ndogo kwanza kwa Yanga ni kama anaua kipaji aisee.
KabisaaYap huo ndo ukweli halisi otherwise awe na kitu cha ziada
Utopolo na mechi ya Asec Mimosa wapi na wapi?Wangekuwa wao sasa. 🤔
Llklllooo99099oView attachment 2119965
Kuna Watu Wangekuwa Wanashika Mkia Kama Jina Lao Lilivyo.Ila bana TFF wanajua kwenda na upepo yaani waamuzi washawapatia points kibao za kubumba halafu leo hii ndo wanaleta mambo ya Semina. [emoji853]
View attachment 2114242
Cc. Troisième Ceil