Me jana hata sikuhangaika kumsikia, sijui kasemaje...!!kati ya watu wasioninyima usingizi ni Murro maana namuona kama mtoto fulani ama kuna vitu utotoni hakupitia
mi nafikiri Una tatizo la kufikiri kama sio roho mbaya ya kishabiki,dunia ya Leo tunapima mafanikio kwa takwimu,hesabu mwenyewe miaka 4ubingwa Mara tatu,kagame 1,ngao ya jamii Mara 3,FA 1, makundi kombe la shirikisho,utasemaje Hana mafanikio?hebu linganisha na timu yako hiyo miaka minne,ndo maana mnaitwa mbumbumbu,na wapumbavu.yanga daima mbeleInashangaza kuona mashabiki wa Yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005, yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo, labda mmesahau Yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji.
Lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?
khaaaa mie ndio kabisa sikupoteza unit zanguMe jana hata sikuhangaika kumsikia, sijui kasemaje...!!
mmeshindwa nyie kuuliza pesa za samata na okwi,usajiri mbovu simba kwenda na hiace wakati mna wadhamini,kwa mawazo haya ndo maana viongozi wenu hawana hats preshaKama mnaweza na ujasir mnao muulizeni mwenyekiti mafanikio yako ni yapi?
ndeleeni na majungu yenu deni la musoti litawashusha darajaMaendeleo in makubwa sana kwani Manji amejenga uwanja wa Kaunda. Amekarabati Jengo la klabu, amewezesha kutwaa ubingwa, Amejiwezesha yeye kuwa diwani kupitia yanga
Inashangaza kuona mashabiki wa Yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005, yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo, labda mmesahau Yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji.
Lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?
Hapo kuna lipi jipya miaka minne imekwama kwa waraabu mara ngapi?na kama mafanikio ya juu ni yule alieipeleka makundi ligi ya mabingwami nafikiri Una tatizo la kufikiri kama sio roho mbaya ya kishabiki,dunia ya Leo tunapima mafanikio kwa takwimu,hesabu mwenyewe miaka 4ubingwa Mara tatu,kagame 1,ngao ya jamii Mara 3,FA 1, makundi kombe la shirikisho,utasemaje Hana mafanikio?hebu linganisha na timu yako hiyo miaka minne,ndo maana mnaitwa mbumbumbu,na wapumbavu.yanga daima mbele
kwa utulivu hilo hongeraKitu kikubwa tunachojivunia Yanga ni utlivu ktk klabu jambo ambalo majirani zetu wanautauta bila mafanikio...Ukikumbuka miaka ya nyuma migogoro ilikua haiishi klabuni lakin kwasasa migogoro pembeni na ndyo sababu ya mafanikio...Kinachoitafuna chura ni migogoro inayoendelea msimbazi
safii mechi zao za ligi wanapiga kaunda sasaMaendeleo in makubwa sana kwani Manji amejenga uwanja wa Kaunda. Amekarabati Jengo la klabu, amewezesha kutwaa ubingwa, Amejiwezesha yeye kuwa diwani kupitia yanga
Nenda ukaimbie kwenye msitu wa lubumbashi kama ndio mafanikio lakini pale misri haikusikaKampa kampa tena & kabeba kabeba tena... Mafanikio Makubwa sana.
kidoogo lakini utulivu unakuja pale anapowatishia kuwasusia timu hapo mnakuwa hamna budi kujikunja na kuwa kimyaKwa takwimu yanga wapo vizur tangu manji aingie pale figisu figisu zimepungua sana, na pia clabu imezid kuimarika, pia uongoz wa manji umetoa uhuru kwa benchi la ufund likiongozwa na kocha kuwa huru, hakuna mtu anaemiliki mchezaji pale, na kama wakiendelea hivyo hakika itafika mbali sana klabu yetu, yanga daima mbele daima wakimataifa
Wewe nahisi hata hujielewi, baada ya kufikiria mambo yako unawaza kwa jirani leo wamekula nini, sasa wewe mafanikio ya Manji Yanga yanakuhusu nini kwani Aveva amefanya nini pale Simba, kiongozi mzima anatoa sababu za kufanya vibaya eti ushindani, alienda kufanya nini kwenye ushindani ambao hauwezi, Yanga waachie wanayanga wenyewe.Kama mnaweza na ujasir mnao muulizeni mwenyekiti mafanikio yako ni yapi?
upo sahihi mkuu, tim ya yanga kwa sasa ipo vzr sana, ukiangalia ni kila idara imekamilika, kunatatzo 1 tu ninalo liona kwa sasa, hatuna wachezaji chipkizi ambao kama club inapaswa kuwa na mwendelezo, hawa akina ngoma, bouso na wengine wanapita, sasa mgogoro utakuja kwenye kuiendeleza tim,Kwa takwimu yanga wapo vizur tangu manji aingie pale figisu figisu zimepungua sana, na pia clabu imezid kuimarika, pia uongoz wa manji umetoa uhuru kwa benchi la ufund likiongozwa na kocha kuwa huru, hakuna mtu anaemiliki mchezaji pale, na kama wakiendelea hivyo hakika itafika mbali sana klabu yetu, yanga daima mbele daima wakimataifa
Ahaaa mkuu mtoto lakini anakunyima uzingizi serious, funguka tu kuwa jamaa kwa uhamasishaji wa kiutani wa jadi hajambo, na mtaanza kujificha kukutana nae kama walimu na wanafunzi wa kipindi kileeee, ananipa raha sana kitaani.kati ya watu wasioninyima usingizi ni Murro maana namuona kama mtoto fulani ama kuna vitu utotoni hakupitia