Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Inashangaza kuona mashabiki wa Yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005, yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo, labda mmesahau Yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji.

Lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?
mi nafikiri Una tatizo la kufikiri kama sio roho mbaya ya kishabiki,dunia ya Leo tunapima mafanikio kwa takwimu,hesabu mwenyewe miaka 4ubingwa Mara tatu,kagame 1,ngao ya jamii Mara 3,FA 1, makundi kombe la shirikisho,utasemaje Hana mafanikio?hebu linganisha na timu yako hiyo miaka minne,ndo maana mnaitwa mbumbumbu,na wapumbavu.yanga daima mbele
 
Karudisheni kwanza rambirambi ya mafisango ndo akili zenu zitarudi sawa nyie vyura aka wa matopenni
 
Maendeleo in makubwa sana kwani Manji amejenga uwanja wa Kaunda. Amekarabati Jengo la klabu, amewezesha kutwaa ubingwa, Amejiwezesha yeye kuwa diwani kupitia yanga
 
ni vema ukashughulika na boriti ktk jicho lako kuliko kibanzi katika jicho la jirani, kweli nimeamini ukimnyooshea mtu kidole vitatu vinakurudia wewe
 
Inashangaza kuona mashabiki wa Yanga wote ni kama wamezaliwa mwaka 2005, yanga kuchukua ubingwa ni jambo la kawaida wenyeviti wote waliopita walifanya hivyo, labda mmesahau Yanga iliokuwa na mafanikio ni ile iliocheza makundi ligi ya mabingwa ikaazima wachezaji.

Lakini si hii ni aibu kupita na kujinasibu hayo ni mafanikio,sasa hapa toka mwenyekiti alipoingia na mkwara wa kuifunga tano simba bado hajafanikiwa mashabiki kuzimia na kulilia wamesubiri mpaka wamekata tamaa na kwenda kushangilia timu,hebu toeni sababu tatu tu za mafanikio ya mwenyekiti tangu achukue timu?

Kitu kikubwa tunachojivunia Yanga ni utlivu ktk klabu jambo ambalo majirani zetu wanautauta bila mafanikio...Ukikumbuka miaka ya nyuma migogoro ilikua haiishi klabuni lakin kwasasa migogoro pembeni na ndyo sababu ya mafanikio...Kinachoitafuna chura ni migogoro inayoendelea msimbazi
 
mi nafikiri Una tatizo la kufikiri kama sio roho mbaya ya kishabiki,dunia ya Leo tunapima mafanikio kwa takwimu,hesabu mwenyewe miaka 4ubingwa Mara tatu,kagame 1,ngao ya jamii Mara 3,FA 1, makundi kombe la shirikisho,utasemaje Hana mafanikio?hebu linganisha na timu yako hiyo miaka minne,ndo maana mnaitwa mbumbumbu,na wapumbavu.yanga daima mbele
Hapo kuna lipi jipya miaka minne imekwama kwa waraabu mara ngapi?na kama mafanikio ya juu ni yule alieipeleka makundi ligi ya mabingwa
 
Kitu kikubwa tunachojivunia Yanga ni utlivu ktk klabu jambo ambalo majirani zetu wanautauta bila mafanikio...Ukikumbuka miaka ya nyuma migogoro ilikua haiishi klabuni lakin kwasasa migogoro pembeni na ndyo sababu ya mafanikio...Kinachoitafuna chura ni migogoro inayoendelea msimbazi
kwa utulivu hilo hongera
 
Kampa kampa tena & kabeba kabeba tena... Mafanikio Makubwa sana.
 
Kwa takwimu yanga wapo vizur tangu manji aingie pale figisu figisu zimepungua sana, na pia clabu imezid kuimarika, pia uongoz wa manji umetoa uhuru kwa benchi la ufund likiongozwa na kocha kuwa huru, hakuna mtu anaemiliki mchezaji pale, na kama wakiendelea hivyo hakika itafika mbali sana klabu yetu, yanga daima mbele daima wakimataifa
 
kidoogo lakini utulivu unakuja pale anapowatishia kuwasusia timu hapo mnakuwa hamna budi kujikunja na kuwa kimya
 
Kama mnaweza na ujasir mnao muulizeni mwenyekiti mafanikio yako ni yapi?
Wewe nahisi hata hujielewi, baada ya kufikiria mambo yako unawaza kwa jirani leo wamekula nini, sasa wewe mafanikio ya Manji Yanga yanakuhusu nini kwani Aveva amefanya nini pale Simba, kiongozi mzima anatoa sababu za kufanya vibaya eti ushindani, alienda kufanya nini kwenye ushindani ambao hauwezi, Yanga waachie wanayanga wenyewe.
 
Kwa takwimu yanga wapo vizur tangu manji aingie pale figisu figisu zimepungua sana, na pia clabu imezid kuimarika, pia uongoz wa manji umetoa uhuru kwa benchi la ufund likiongozwa na kocha kuwa huru, hakuna mtu anaemiliki mchezaji pale, na kama wakiendelea hivyo hakika itafika mbali sana klabu yetu, yanga daima mbele daima wakimataifa
upo sahihi mkuu, tim ya yanga kwa sasa ipo vzr sana, ukiangalia ni kila idara imekamilika, kunatatzo 1 tu ninalo liona kwa sasa, hatuna wachezaji chipkizi ambao kama club inapaswa kuwa na mwendelezo, hawa akina ngoma, bouso na wengine wanapita, sasa mgogoro utakuja kwenye kuiendeleza tim,

yanga inapaswa kuwa na wachezaji wengi, na hicho ndicho kilichowakumba simba, walikuwa na tim nzr wakauza, wakaishiwa wachezaji kwa kuwa hawakuwa na chipkizi mwisho wamelala kifo cha mende,

hyo hali pia imezikumba timu kubwa kama man u, chelsea na hata arsenal, maana kwa mfn arsenal walikuwa na tim nzr ila walipouza wachezaji nw dayz wamekuwa wasindikizaji, lile soka la henry, limebaki kitabuni..

nawashauri yanga maana nami ni mshabiki, hasa kocha awe makini, tusije tukawa na mafanikio haya mwakaa huu mwakani tukachemka...

kwa sasa tim iko vzr sitoshangaa kucheza fainal, na kuwa bingwa wa hayo mashindano ya mabingwa wadogo wa afrika..
 
kati ya watu wasioninyima usingizi ni Murro maana namuona kama mtoto fulani ama kuna vitu utotoni hakupitia
Ahaaa mkuu mtoto lakini anakunyima uzingizi serious, funguka tu kuwa jamaa kwa uhamasishaji wa kiutani wa jadi hajambo, na mtaanza kujificha kukutana nae kama walimu na wanafunzi wa kipindi kileeee, ananipa raha sana kitaani.
 
Back
Top Bottom