Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
full time yanga mmeshinda 2 kagera 1
kwa ligi zetu za mchangani yanga sina tabu nao....
tatizo ndege bwana.....yaani timu za nje yanga weupe weupe..ata wawe kamili namna gani....watalia tu!!
Hivi PM wenzako wamekwambia kama nimejitolea kupaka chokaa jengo lenu la simba looote?
Hongera mtani...ukafanye hivyo na DRC!!!!!Yanga 6 Toto 0
Yanga kashinda 6-0,ni historia kama walivyofungwa na simba miaka hiyo.Wadau wa Club ya Yanga ingawa tulifungwa na Lupopo, tunaomba mwenye matokeo ya mechi ya leo kati ya timu yetu ya Yanga na Toto Africa mtuletee ili tujue timu yetu imefanya nini katika mechi ya leo
Leo Athumani Iddi anatandaza soka sio mchezo pale dimba la kati mpira ni kipindi cha pili dakika ya 14 bado Yanga wanaongoza 1-0
Huyo mabangi kwa sasa anapiga soka ya ukweli nadhani kocha takayekuja atamrudishaLeo Athumani Iddi anatandaza soka sio mchezo pale dimba la kati mpira ni kipindi cha pili dakika ya 14 bado Yanga wanaongoza 1-0
mbona waturusha roho, nini kimetokea huko, bila shaka na mpira umeshaisha.vipi french haipandi? Mbona ni kama lupopo washinda??