Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

wanaojua walipanda pipa kwenda kukipiga na wenzao wanaojua, nyie nasikia mtapanda daladala za kariakoo-mbagala kwenda kukipiga na ambao ni size yenu
Mnachofanya sasa sisi kilifanywa na Kina Edward Chumila & Co.
Ukibisha sana kacheki stats za Manara. Leta facts, vinginevyo kaa kimya! Tukianza tena mwakani kuwakilisha nchi kwa Kissed SHINDANA sio KUSHIRIKI tutaenda next level. Naona tuliyoyafanya 2003 kushuka chini ndo mnajaribu kuyafanya sasa na bado mnaishia kwenye mitoano, sisi tulikuwa tunaingia makundi na tunawanyoosha waarab haijalishi ni mabingwa watetezi au la. FIFA na CAF wana rekodi ya timu bora Afrika, nenda kaangalie yanga na simba nani yuko juu na nani hayupo kabisa!
 
Mbona unatumia past tense tu? Vipi kwani sasa simba haipo? Teh teh teeeeh!
 
Kaangalie msimamo wa ligi VPL LATEST utapata jibu. Vyura fc bhana, mna kelele dimbwini eeh! Tutakausha hilo dimbwi tuone mtapigaje kelele!
 
Sasa hapa mwenye kelele nani? Uko jukwaani kwetu na unaongelea yenu!!! Seriously! Mta mta mta mta...... mbona mmeshindwa sasa, teh teh teeeeeh, mla mla leo mla jana kala nini? Endeleeni kujipa moyo.
 
Dada, uzi umedoda! Toka 2008 spidi ya kobe, Nilikuwa nausogeza sogeza! Ngoja niwaache wenyeji..
 
Eti umedoda, yanga ni vitendo tu, kelele na porojo mmeachiwa, nyie jazeni tu thread thats wht you can do better now 'kufarijiana'
 
Simba aka mnyama aka vijana wa Nyalusi aka wazee wa mpira wa kapeti aka wazee wa draft aka wazee wa tano bila WATAENDELEA KUWASUMBUAna kuchezea akili zenu.
SIMBARCELONA.
 
Hapa naona unachoongelea ndicho kinachokutafuna, pole mwaya, sio kosa la yanga ni kosa la the big looser simba.
 
Seriously, YANGA UNAJIVUNIA NINI? Ebu tiririka, nyodo weka kando! Unajivunia nini yanga hii?
 
Yaani shida yako nini haswaaaaa!! Au ndio stress za kukaribia kushuka daraja, ugua pole, kawasalimie wenzio muendelee kujifariji.
 
Basi kituko, siku hizi anayeongoza ligi na kqenda kuchukua ubingwa ndo anashuka daraja?
Vyura Fc bhana! Mnafurahisha.
 
Teh teh teh teeeeh!! Mna stress za kukosa kombe kwa muda gani? Mshashuka daraja ila hamjui tu, ndio maana kelele nyingiiiiii na kubaki na past tense tu.
 
Msimu wa 2011-2012 nafikiri, nafikiri ndo mara ya mwisho tulichukia ndoo ya VPL, ni ULE MSIMU TULIMPIGA YANGA TANO NUNGE kama niko sahihi, JE UNAKUMBUKA VIZURI?
 
Kweli mmebaki na past tence tu, ugueni pole.
 
Ebu niambie present na future ya VYURA FC ikoje?? Au kupanda ndege na kucheza na timu ambazo viwango vyao vya soka ni vya chini unaona ni mafanikio?? Mngekuwa unajenga uwanja na kujivunia ningewaelewa, sio kupanda ndege tena ndege zenyewe nusu chopper, PROPELLERS mbenda mbele! Kama mmeamua kujivunia kupanda ndege basi mpandage JET ENGINES amgalau.
Manutd na Liver ni timu kubwa sababu ya THE PAST!
 
Msimu wa 2011-2012 nafikiri, nafikiri ndo mara ya mwisho tulichukia ndoo ya VPL, ni ULE MSIMU TULIMPIGA YANGA TANO NUNGE kama niko sahihi, JE UNAKUMBUKA VIZURI?
na kuweka kumbukumbu sawa huo huo mwaka wa 2011-2012 ndo PAKASHUMI FC aka MBUMBUMBU FC aka MIKIA SC ndo mlibakwa na kufanyiwa udharirishaji wa kijinsia pale UWANJA WA TAIFA GUEST HOUSE na lile li timu la angola linajiita LIBOLO, kutokea wakati huo mna aleji na mashindano ya kimataifa
 
Back
Top Bottom