upo sahihi mkuu, tim ya yanga kwa sasa ipo vzr sana, ukiangalia ni kila idara imekamilika, kunatatzo 1 tu ninalo liona kwa sasa, hatuna wachezaji chipkizi ambao kama club inapaswa kuwa na mwendelezo, hawa akina ngoma, bouso na wengine wanapita, sasa mgogoro utakuja kwenye kuiendeleza tim,
yanga inapaswa kuwa na wachezaji wengi, na hicho ndicho kilichowakumba simba, walikuwa na tim nzr wakauza, wakaishiwa wachezaji kwa kuwa hawakuwa na chipkizi mwisho wamelala kifo cha mende,
hyo hali pia imezikumba timu kubwa kama man u, chelsea na hata arsenal, maana kwa mfn arsenal walikuwa na tim nzr ila walipouza wachezaji nw dayz wamekuwa wasindikizaji, lile soka la henry, limebaki kitabuni..
nawashauri yanga maana nami ni mshabiki, hasa kocha awe makini, tusije tukawa na mafanikio haya mwakaa huu mwakani tukachemka...
kwa sasa tim iko vzr sitoshangaa kucheza fainal, na kuwa bingwa wa hayo mashindano ya mabingwa wadogo wa afrika..