Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hongera yebo yebo
balantanda hongera pia na ndugu zako wote
Pole Ivuga et al,subiri mwakani,za mchangani bado zipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera yebo yebo
balantanda hongera pia na ndugu zako wote
Wameishia kupika majungu ya mezani kwenda CAF wakiongozwa na mpishi wao mkuu Madeni maha-Rage
Mpira ni uwanjani sio kucheza na vyombo vya habari kama simba. Hongera Yanga, hongera Timbe!
TANGAZO RASMI...
Yanga automatically and by virtue of history wameshatolewa kwenye raundi ya mchujo wa klabu bingwa Africa 2012 ...
Asanteni sana
Ahaaa ahaaa kwahiyo Simba gamba bado wanaloYanga Imejivua Gamba :tongue:
TANGAZO RASMI...
Kwa niaba ya familia yangu, napenda kuwafahamisha wapenzi wa Simba kuwa nimewanunulia zawadi ya Gagulo kila mmoja wenu kwa washabiki 10 wa mwanzo, na mtachagua wenyewe mahali pa kulivaa...kama utalivaa ukiwa umekalia kibao cha mbuzi huku unakuna nazi, au utalivaa leo ukija kuleta fitna na ushambenga ili Yanga tusimfturu Toto Africa...
Asanteni sana
Ahahahaah!Yanga Imejivua Gamba :tongue:
Sidhani
Maana hata kama Okwi angefunga ile penati bado Yanga angekuwa Bingwa.
Timu zote zingekuwa na goal difference ya 25, lakin kipengele kinachofuata baada ya hicho kilikuwa ni kuangalia nani alimfunga mwenzake walipokutana.
Mimi ni shabiki wa Yanga, nilikua ccm kirumba jana, soka waliloonesha Yanga Jana ni la kiwango cha chini mno. Napata hofu, huenda tukawa wasindikizaji kimataifa. They really need to pull up their socks!