Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Unaniita boya kwa kigezo kipi? Au umishazoea kutukana watu? Jamaa hakuaniisha kama kufungwa kwenye mashindano yote au kwenye domestic league tu bali amesema FIFA inatambua. Kama kwenye ligi kuu hata Juve na PSG hajafungwa pia. Unatoa tusi pasipo kufikiria au kwavile nimesema liverpool kaishaonja kipigo ndio povu likutoke namna hiyo.
Kunradhi shehee
 
Mechi inayofuata YOUNG AFRICANS "The Citicen Team" inacheza na nani na lini? Sitaki kufahamu itakakochezwa kwa sababu wananchi wapo sehemu zote za Tanzania hivyo hatuna ugenini na nyumbani. Popote sisi ni nyumbani
 
Mechi inayofuata na Ruvu shooting inaonyedha itakuwa tarehe 16/12/2018, Yanga ndiyo mwenyeji, moja kwa moja umekwishajua uwanja utakaotumika.
 
Wakuu naomba Kama kuna mwenye group la whatsapp la wana Yanga wanaochangishana ili nami niwe nachangia mazuri ya chama letu please. 0714 411041.
 
Hii tabia ya kuwatanguliza watu na kuwatamanisha sio nzuri
Hii in kama enzi hizo una kademu kakali balaa umetoka kukapokea stendi unaenda nako geto, kuna wakati unakatanguliza hatua kadhaa mbele watu wanakatolea mate kinoma humo njiani na wewe unakatathimini kwa nyuma kabla ya kwenda kukalamba
 
Back
Top Bottom