Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunalalamika panapostahili Mkuu.
NakusalimuHahahaaa. Halafu Mtani mnasemaga tunateseka na timu yenu. Hiki nini?
Sasa ivi ushakua mwiko wa kukorogea ujiKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA ALLIANCE QUATER FINAL KOMBE LA FA HAPO 16:00HRS
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mie sijambo Mtani.
Mawazo yako tu Mtani hayo. Ila niseme tu "Daima mbele nyuma mwiko"
Kujidanganya kwamba hatufiki Semi final au?
Salama tu Mtani sijui wewe?
Njoo serikalini ule maishaSalama tu Mtani sijui wewe?
Muhindi alibana sana this week hivyo hata time ya kushika simu nikawa sina aisee.
Yabidi aisee japo umri ushakwenda hapa Mtani. 🙈🙈🙈
Na hii ndio itakuwa dawa Mkuu. Yaani yatupasa tupate matokeo mapeema.Iwe isiwe Leo hatusubiri matuta ni mapema tu
Acha uwoga leo hamtokiNa hii ndio itakuwa dawa Mkuu. Yaani yatupasa tupate matokeo mapeema.
Tusubiri tuone Mkuu.Acha uwoga leo hamtoki