Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20190408_082841.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20190407-160243.jpg
    Screenshot_20190407-160243.jpg
    61.7 KB · Views: 21
Frank Wanjiru Maxmizer Mgagaa na Upwa Tiba Ulimakafu Shadeeya Southern Highland Guasa Amboni Gang Chomba Mr Never Mind Prince Kunta Tate Mkuu 1954 Kobello Rotomoto Kivule Nifah hazard cfc Joseverest SOSDANNY

Na wanachi wengine wote sio mbaya kuwatag kama nimewasahau

Napenda tu kuuliza hivi ule mpira uliopaa angani juu kabisa mawinguni siku ya juzi ina maana huko mitaa ya kwenu nako bado tu haujaonekana???🙂🙂🙂
Mkuu huku Tanangozi kuna mpira umeangukia ng'ombe sasa hatujaelewa bado umetokea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frank Wanjiru Maxmizer Mgagaa na Upwa Tiba Ulimakafu Shadeeya Southern Highland Guasa Amboni Gang Chomba Mr Never Mind Prince Kunta Tate Mkuu 1954 Kobello Rotomoto Kivule Nifah hazard cfc Joseverest SOSDANNY

Na wanachi wengine wote sio mbaya kuwatag kama nimewasahau

Napenda tu kuuliza hivi ule mpira uliopaa angani juu kabisa mawinguni siku ya juzi ina maana huko mitaa ya kwenu nako bado tu haujaonekana???🙂🙂🙂

Hahaaaaa acheni hizo bhana, mimi ni Mwananchi mzalendo ila namkubali jamaa, nilimuonea huruma sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Frank Wanjiru Maxmizer Mgagaa na Upwa Tiba Ulimakafu Shadeeya Southern Highland Guasa Amboni Gang Chomba Mr Never Mind Prince Kunta Tate Mkuu 1954 Kobello Rotomoto Kivule Nifah hazard cfc Joseverest SOSDANNY

Na wanachi wengine wote sio mbaya kuwatag kama nimewasahau

Napenda tu kuuliza hivi ule mpira uliopaa angani juu kabisa mawinguni siku ya juzi ina maana huko mitaa ya kwenu nako bado tu haujaonekana???🙂🙂🙂
Umeonekana huku NKASI jana jioni. 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom