Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hivyo mtani kwa sasa kuna timu inaviporo zaidi ya nane nayo? Au sijakuelewa?Kwan Uingereza huwa wanapanga vp ratiba zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo mtani kwa sasa kuna timu inaviporo zaidi ya nane nayo? Au sijakuelewa?Kwan Uingereza huwa wanapanga vp ratiba zao
Waige mfano wa Uingereza ili ligi yetu ivutie zaidiHivyo mtani kwa sasa kuna timu inaviporo zaidi ya nane nayo? Au sijakuelewa?
Sawa
Ooh. Hapo sawa kabisa Mtani. Maana kiuhalisia ligi haivutii hata kidogo ndipo.Waige mfano wa Uingereza ili ligi yetu ivutie zaidi
Mtani sema tumesaidiana. 😎😎😎Tumewasaidia, 2020 mtakuwa mnafatana na sisi Champions League.
Mtani sema tumesaidiana. 😎😎😎
Hahaaaa. Nzuri sana hiyo Mtani. 👏👏Mlikuwa mnatuzomea kila siku, ila kaka zenu tukawa hatujali.
Tunawapenda wadogo zetu hivyo hivyo na midomo yao.
Hahaaaa. Nzuri sana hiyo Mtani. 👏👏
Sisi tunaganga ya Azam sasa. 😎😎
Waambie wasipokazana hamna msaada mwingineKazi kwenu msimu ujao mpambane muwe namba 2.
Msimu ujao tunachukua Ligi kuu Mtani nyie ndio mtakuwa namba 2.Kazi kwenu msimu ujao mpambane muwe namba 2.
Huwa ni wagumu kuelewa
Mtani ushaanz kuchanganyikiwaMsimu ujao tunachukua Ligi kuu Mtani nyie ndio mtakuwa namba 2.
Kuchanganyikiwa tena. Mwaka huu ubingwa tushaukosa nguvu / uboreshaji wa kikosi tunauelekeza kwenye msimu ujao.Mtani ushaanz kuchanganyikiwa
Hela mnayoKuchanganyikiwa tena. Mwaka huu ubingwa tushaukosa nguvu / uboreshaji wa kikosi tunauelekeza kwenye msimu ujao.
Msimu ujao tunachukua Ligi kuu Mtani nyie ndio mtakuwa namba 2.
Nimecheka. LOLSawa Mtani, jeshi hata kama linajua halina uwezo huwa haliachi kutamba.
Nimekuelewa.
Inayofuata ni Yanga vs Azam (tarehe 29_ uwanja wa taifa) amebaki na mechi 6 tuNipeni ratiba ya Yanga kwa mechi inayofata na zilizobaki