Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20190424_185204.jpg

Muchangie jamaani. Na hiyo ndio tafsiri ya Timu ya Wananchi.
 
Mmejipanga Ku challenge ma billion yetu tuliyovuna caf??? haha ngoja tusubiri
Yah! Na ndio sababu wanasema hakuna kinachoshindikana chini ya jua.

Hivyo mujipange sababu huu utofauti wa Points hautakuwepo tena yaani tutakwenda jino kwa jino mpaka kieleweke.

Kutuiga kuchukua mara tatu mfululizo ka sie hilo musahau kabisaa.
 
Nimecheka sana ujue ulivyosema Mara tatu mfululizo mtani
 
Back
Top Bottom