Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Moro wanasawazisha....
Dk ya 49
Dk ya 49
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 1-2 Moro Utd
Dakika ya 71
Ni makosa ya mabeki wa Yanga
Bakari Mbegu anatugharimu sana pale nyuma....Pole Bala, ndiyo mpira/mchezo wa makosa. Ila Yanga watarudisha
Leo hata Nsajigwa katugharimu pia......Kapewa kadi nyekundu ya kijinga dakika ya 40 matokeo yake tumecheza pungufu muda mrefu......Tulitakiwa tushinde mechi hii....Yanga tuna kazi ngumu sana kutetea ubingwa wetu.hivi chacha marwa ni mbovu kuliko mbegu?
Afadhali, kwa hiyo sa hivi tunalingana pointi.Mpira umeisha
Yanga 2-2 Moro Utd
Poleni sana wana Yanga wenzangu
HeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAfadhali, kwa hiyo sa hivi tunalingana pointi.
Yanga tuna kazi ngumu sana kutetea ubingwa wetu.hivi chacha marwa ni mbovu kuliko mbegu?
Anamzungumzia Bakari Mbegu na si Idd Mbagachacha marwa ni beki mbaga ni ni foward. so hawawezi linganishwa.
Ong'wise ndo hivyo adui mwombee njaa, maana mngetangulia pointi mbili si ajabu ingekuwa ndo mwendo mdundo.Heheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kweli nimeamini 'Adui muombee njaa'