Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiona kimya ujue Yanga kalowa vitatu....hahaha....Azam FC 3 na Yanga 0Tupeni matokeo ya Yanga na Azam kule Zanzibar kombe la mapinduzi
Daah, kwani Papic hakuwapanga wale nyota walioenda juzi kwa boti? Sasa msimamo wa kundi unaamuaje hapo?ukiona kimya ujue Yanga kalowa vitatu....hahaha....Azam FC 3 na Yanga 0
Tupeni matokeo ya Yanga na Azam kule Zanzibar kombe la mapinduzi
Nasikia na nyie mliwafunga Azam FC 2-0.......'Hongereni sana kwa ushindi'.......lolukiona kimya ujue Yanga kalowa vitatu....hahaha....Azam FC 3 na Yanga 0
Ngoja tarehe 21 Jan,tunarudi kwenye ligi yetu.
baada ya break ya miezi kadhaa..
kapu lenu lipo tayari ni kwenda kulichukua tu