Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tupeni matokeo ya Yanga na Azam kule Zanzibar kombe la mapinduzi
 
ukiona kimya ujue Yanga kalowa vitatu....hahaha....Azam FC 3 na Yanga 0
Daah, kwani Papic hakuwapanga wale nyota walioenda juzi kwa boti? Sasa msimamo wa kundi unaamuaje hapo?
 
nyie mnaenda lini kuchukua kapu lenu la magoli toka kwa zamaleki?
 
Back
Top Bottom