Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Du! Wenyewe wamekimbia site yao!!! Ama kweli vipigo vinauma!!
 
leo vipi majibu?

mashabiki wa yanga kila sehemu ndivyo walivyo, sio innovative, uwanjani sio washangiliaji, viwanjani hawaingii kama timu yao haichezi, na hata hapa Jamii Forums hawataki wala hawapo kuchangia, mwenzenu kauliza matokeo lakini hakuna kitu
There are currently 6 users browsing this thread. (2 members and 4 guests)

  • matambo
    thread yenyewe hata followers hakuna cheki
 
MTM ngoja nikusaidie, yanga wamepewa magoli 4 tu kwa moja na watoto wao, kwa kweli ni magoli machache sana kwa mahusiano waliyonayo lakini si haba zitayasaidia yanga kushika nafasi ya tatu
 
MTM ngoja nikusaidie, yanga wamepewa magoli 4 tu kwa moja na watoto wao, kwa kweli ni magoli machache sana kwa mahusiano waliyonayo lakini si haba zitayasaidia yanga kushika nafasi ya tatu
Kama yale Simba aliyopewa na African Lyon.
 
MTM ngoja nikusaidie, yanga wamepewa magoli 4 tu kwa moja na watoto wao, kwa kweli ni magoli machache sana kwa mahusiano waliyonayo lakini si haba zitayasaidia yanga kushika nafasi ya tatu

Hivi kumbe magoli yanagawiwa kiubwete hivyo?, na bado tunakuja.. pointi zetu sita ziko msimbazi mmetushikia..
 
pongezi nyingi kwa kiungo(attacking midfilder) papa haruna nyonzima a.k.a fabrigas
 
Asante YASC na Mwape,umetutendea haki.Wanaongea sana hawa.
 
Weraaaa weraaaa chama kubwa Dar Yanga Africa baada ya kumchakazaa vilivyo mnyamaa,
 
Back
Top Bottom