GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
tangu lini simba akawindwa usiku? hapa yanga ilifanya tatizo la kiufundi haswa kwa kukubali
kucheza na myama usiku.
kucheza na myama usiku.
Mnyama hafai kabisa jamaa yangu wa karibu kaninunia toka usiku kila nikimsemesha anajibu eti "aahh1 huu sasa ufala tutapigwaje mbilli bwana!". Ngoja nimuache machungu yapungue,ila nawashauri Mnyama ktk mechi za ligi apige moja,moja tuu maana haliumi sana kama viwili. Tehe tehe!