Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Yanga ni waoga tu hawana lolote! Kuna mwana-Yanga mmoja kanitonya kwamba baada ya kuumia Yaw Berko wana wasiwasi wa kupoteza mchezo.
Hongereni,ndo soka.poleni xana wapinzani we2,.,. we're the best,.,"Ngrriiiii..,
Muda si mrefu bakora zitaanza pale jangwani leo kikundi cha mpira pesa cha simba kilikuwa na katu ya mdada hafu pembeni kuna mnyama simba wakaweka maandishi yakisomeka hivi...Ukiona chupi ujue kapigwa kotekote.....Poleni Yanga. Kwa ufupi ... mmefungwa 9-3 mwezi huu.
JKT Ruvu 1 Yanga 0
Simba 2 Yanga 0
Polisi Dodoma 2 Yanga 1
El Mereik 3 Yanga 1
El Hilal 3 Yanga 1
JKT 1Yanga 0 ?matokeo ya leo vipi?
Muda si mrefu bakora zitaanza pale jangwani leo kikundi cha mpira pesa cha simba kilikuwa na katu ya mdada hafu pembeni kuna mnyama simba wakaweka maandishi yakisomeka hivi...<i><font size="4"><font color="#ff0000"><b>Ukiona chupi ujue kapigwa kotekote</b></font></font></i>.....
Poleni Yanga. Kwa ufupi ... mmefungwa 11-3 mwezi huu.
JKT Ruvu 1 Yanga 0
Simba 2 Yanga 0
Polisi Dodoma 2 Yanga 1
El Mereik 3 Yanga 1
El Hilal 3 Yanga 1