Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

kweli pesa kiboko hata Wambura na Angetile jamani! Makubwa washindwe,hata malipo while wafadhili wameshatoa fund! Dah hawa jamaa nilikuwa nawaaminia sana! Pesa hata yuda ali change aisee!
 
Wasiende kiwanjani? Labda Tenga hajachezea Yanga.
 
ndio maana mimi sijawahi kwenda kuangalia simba yanga!mpira wa bongo ni kupotezeana muda!naisubiri el classico barca-madrid usiku
 
mawingu ya asubuhi ndio sababu mkuu.hizi imani na soka la bongo bana!!
 
achana na kabumbu.
hivi soka linaqpigwa saa ngapi? kwa wale wenzaqngu wa mbele?
 
Hao Yanga ni waoga tu hawana lolote! Kuna mwana-Yanga mmoja kanitonya kwamba baada ya kuumia Yaw Berko wana wasiwasi wa kupoteza mchezo.

Lazima wewe utakuwa unakaa kwenu, namaanisha kula kulala. Kama unafanya kazi lazima ulipwe, wachezaji sio watoa sadaka wana majukumu yao na familia zao.

Yanga ndio timu pekee ambayo haibabaishwi na vijisenti itakavyopata kama kuna pesa za awali inadai .
 
wenzako wanajuta kwa nini wameingiza nimempenda YAW BERKO AMEWAPA LIVE YANGA
ASIPOPEWA HELAYAKE WASAHAU KUCHEZA NIKAISI UTANI SASA WANAMJUTIA KILA MTU ANAULIZIA VIPI
NDIO MAANA NIMEPENDA WACHEZAJI WA YANGA WAMEMWAMBIA KIIZA USIPODAI HIYO HELA YAKO UTOPEWA DAIMA
MPAKA LIGI INAISHA AMESEMA ANASUBIRI WAANZE LIGI MCHEZO WA TATU ANAENDA UGANDA KAMA PHIRI ENZI ZILE
 
Labda watu wanashindwa kuelewa hata siku moja yanga aina historia ya kushinda
vitu vinaitwa ngao nk ...infact ni swala la kuvumilia polen wana yanga hili sio
kazi zetu ndugu yangu tushazoea kucheza tushinde ligi ila kwa kweli tsimbe ana kazi
kwa mpira wa leo yaani ni aibu tupu nakama wakicheza vile kwa coastal union
ni aibu kichapo kwa kwenda mbele nawaambia ..ila kwa mpira wa leo mmh tsimbe una kazi
kweli ndugu yangu polen saana
na hongeren wana simba
 
....sasa alikuwa anafukuza watazamaji kwa ajili gani, maana magazeti yao bana hasa mwanaspoti n.k yalikuwa yanawaremba kweli..... ohh anawapa vitu maalum Asamoah ect.... !! Vitu maalum Besena alikuwa anawapa akina Costa aka nyumba, nadhani Poulsen atajisikia aibu kumwita Boban u-23 ili kuona uwezo wake ( leo kama ilivyokuwa Kazimoto siku ya Kagame, kama sio kumuumiza ) wangekula kichapo zaidi....
 
Mnyama hafai kabisa jamaa yangu wa karibu kaninunia toka usiku kila nikimsemesha anajibu eti "aahh1 huu sasa ufala tutapigwaje mbilli bwana!". Ngoja nimuache machungu yapungue,ila nawashauri Mnyama ktk mechi za ligi apige moja,moja tuu maana haliumi sana kama viwili. Tehe tehe!
 
Tatizo watu kila kitu Nyerere au CCM, Mkitaka kujuwa haswa ukweli wa Yanga mie si mshabiki wa Yanga ila kamtafuteni Familia ya Mzee Mangara ndio utajuwa mzizi wa Yanga ulianzia wapi? na Nyuma kabisa ya kuhusu CCM japo wengi wana Link na CCM, na hapo utapopata Stori za Mangara ndio utaona na Bakharesa anavyoingia kwenye Stori kuhusu utajiri wake alivyoupata.... na Pan African ilivyoundwa kila kitu hapo. mpaka makaratasi mtaoneshwa, haya ni sawa na Serikali na watu wafataji mkumbo wanapoanzia kila kitu kwa Nyerere na Kumfunika ukweli wa Bibi Titi. nimependa maelezo ya Juu Kabisa kuhusu Yanga. Nchi yetu inaaibisha tunapoingiza Siasa Rangi na Dini kwenye hizi Timu zetu tukileta Utani wa Ushabiki, Sio vibaya utani wa ushabiki ila Mengine kama Haya ya Siasa haswa ndio yanarudisha nyuma zetu.
 
Poleni Yanga. Kwa ufupi ... mmefungwa 11-3 mwezi huu.

JKT Ruvu 1 Yanga 0
Simba 2 Yanga 0
Polisi Dodoma 2 Yanga 1
El Mereik 3 Yanga 1
El Hilal 3 Yanga 1
 
Poleni Yanga. Kwa ufupi ... mmefungwa 9-3 mwezi huu.

JKT Ruvu 1 Yanga 0
Simba 2 Yanga 0
Polisi Dodoma 2 Yanga 1
El Mereik 3 Yanga 1
El Hilal 3 Yanga 1
Muda si mrefu bakora zitaanza pale jangwani leo kikundi cha mpira pesa cha simba kilikuwa na katu ya mdada hafu pembeni kuna mnyama simba wakaweka maandishi yakisomeka hivi...Ukiona chupi ujue kapigwa kotekote.....
 
Muda si mrefu bakora zitaanza pale jangwani leo kikundi cha mpira pesa cha simba kilikuwa na katu ya mdada hafu pembeni kuna mnyama simba wakaweka maandishi yakisomeka hivi...<i><font size="4"><font color="#ff0000"><b>Ukiona chupi ujue kapigwa kotekote</b></font></font></i>.....

Maneno mazito sana hayo! Ukiona chupiiiii...................???????????

ha ha ha ha ha haaaaaaaa.....!!!!!!!!
 
Poleni Yanga. Kwa ufupi ... mmefungwa 11-3 mwezi huu.

JKT Ruvu 1 Yanga 0
Simba 2 Yanga 0
Polisi Dodoma 2 Yanga 1
El Mereik 3 Yanga 1
El Hilal 3 Yanga 1

nyie mishikaki....ikifika mwisho wa ligi huku kombe likitua jangwani (kama ilivyo desturi ya yanga afrika) najua mtawa-banka na kuwa-mgosi akina sunzu kama visingizio vyenu vilivyo miaka yote.
 
Back
Top Bottom