Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Basena mmemaalizana nae?.....lipeni deni
Mi nimeamia Azam. Simba na Yanga hawako serious hata kidogo.
Mkuu MH,
kwa nini Azam hawako serious??
Yanga tuko uwanjani sasa hivi yunakamua na JKT Ruvu......................dakika ya 15 bado bila-bila.
naombea droo...
Na leo sare hahahahahaah...Yebo yebo banaYanga tuko uwanjani sasa hivi yunakamua na JKT Ruvu......................dakika ya 15 bado bila-bila.
Acha uchawi wewe tutashinda tuuuuuuuu.........
Na leo sare hahahahahaah...Yebo yebo bana
Dakika ya 36 Yanga 0 - 1 Jkt Ruvu..............mfungaji ni Alex Mngisa