Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hatujiamini mkuu na hatuimani timu yetu..Hakuna hata uzi was mechi ya leo humu namo mmepoa!
Tatizo ndio lipo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujiamini mkuu na hatuimani timu yetu..Hakuna hata uzi was mechi ya leo humu namo mmepoa!
Wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ila kikosi kinaitajika maboresho makubwa Sana,wanawah kuchoka na pia umiliki wa mpiraFT 1Young Africans 0 Township Rollers
Kikosi kizuri, kinaweza kufika hatua ya makundi. Na support inatakiwa ianze sasa kuwa kubwa.Ila kikosi kinaitajika maboresho makubwa Sana,wanawah kuchoka na pia umiliki wa mpira
AsanteHongereni Yanga.
Shemela tumevuka aiseee! Kama nawaona mikia walivyo roho juu.Haters Mikia FC.
Huwa nauamshaga mie ila toka majuzi sikuwa hewani aiseee.Yanga hamnaga amsha amsha kabisa...tumepoa sana,yani hata kauzi ketu tu kamepoa
Hahaha mbumbumbu wanaahadi za kidwanzi sanaHuwa nauamshaga mie ila toka majuzi sikuwa hewani aiseee.
Naona tumewaziba midomo mikia. Hapa ngoja nimsake Mtani wangu OKW BOBAN SUNZU aje avue nguo mana ndio ahadi yake hiyo. [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu Mtani aje tu avue hizo nguo aisee. 😀😀😀😀Angalia na kikos tulichochezesha
Nawaambiaje watan ligi ya msimu huu lazima mtaikubal yanga
NIONAVYO BADO NAFASI TUNAYO.