Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

yanga goli la pili dk 35 limefungwa tena na asamoah
yanga 2 mtibwa 0
 
yanga 3 mtibwa 0 dakika ya 42 second half.

shamte mfungaji.

yanga inarudi kwenye familiar position yake iliyozoeleka na wengi: number 1
 
yanga 3 mtibwa 1 injury time

yanga walikuwa wame-relax
 
full time yanga 3 mtibwa 1.

yanga waishusha kileleni simba, for now.
 
full time yanga 3 mtibwa 1.

yanga waishusha kileleni simba, for now.

Asante mkuu kwa updates! Niko mbali na bongo yetu kikazi, nimekuwa natafuta sana kujua matokeo ya mechi hii muhimu! Nimeyapata sasa hivi! Nimefurahishwa sana na ushindi huu! Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Daima mbele nyuma MWIKO!
 
Hongereni wana Yanga wenzangu kwa ushindi huu mzuri uliotufanya tuwe kileleni....
 
full time yanga 3 mtibwa 1.

yanga waishusha kileleni simba, for now.

Haya timekusikieni!
magamba.JPG
 
Nawaombea njaa na kipigo wna simba popote walipo..........wachapweeeeeeeeeeee mpaka basiiii........viroba vitaniua leo. Vilevile chama langu liverpool linamchapa Man utd loh............hapo itanibidi nigonge valeur
 
Liverpool wakicheza unavaa T-shirt ya rangi gani vile?
 
nawaombea njaa na kipigo wna simba popote walipo..........wachapweeeeeeeeeeee mpaka basiiii........viroba vitaniua leo. Vilevile chama langu liverpool linamchapa man utd loh............hapo itanibidi nigonge valeur

zamaleki unaijua?
 
Vp mboma kimya au mmewekewa glue kwenye vidole.... Mnaofwatilia hii gem tupen bac hizo updates
 
Vp mboma kimya au mmewekewa glue kwenye vidole.... Mnaofwatilia hii gem tupen bac hizo updates

WanaYeboyebo siku zote ni wanafiki! wanajifanya wanajua kuchonga sana wakati timu yao hawaiamini. ndo maana leo wako kimya.
 
Back
Top Bottom