Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏asante sana dada Shadeeya endelea kutupa update tuko pamoja
Hapo ni Kaunda?
😀😀 Hebu vaa miwani kwanza.Hapo ni Kaunda?
Naona kama jengo letu pembeni, nikasema maji yamefanyiwa utaratibu yasifurike tena au sioni vizuri?😀😀 Hebu vaa miwani kwanza.
Duuh!! Ni mwanza huko Mkuu.Naona kama jengo letu pembeni, nikasema maji yamefanyiwa utaratibu yasifurike tena au sioni vizuri?
Toka lini ukawa Yanga Mtani?Naona kama jengo letu pembeni, nikasema maji yamefanyiwa utaratibu yasifurike tena au sioni vizuri?
.............
Ha ha haa, ni sanaa ya lugha tu kusema 'timu yetu', lakini inaeleweka kwamba mimi sipo huko.Toka lini ukawa Yanga Mtani?
Oooh. Kumbe umetumia sanaa ya lugha ee.Ha ha haa, ni sanaa ya lugha tu kusema 'timu yetu', lakini inaeleweka kwamba mimi sipo huko.
Pyramids juzi kapiga mtu 3 ugenini ligi ya kwao
Hahahahaaa. Hata kama. [emoji41][emoji41][emoji41]
Google Mtani.Hivi msimamo ukoje?
Google Mtani.
Ndio mana nkasema kagoogle huko utayapata yote. 🤣Kwani ww uko nafasi ya ngapi?
Hahahahahahahahah wengine hatujui hata Google ikoje,Tunafanyaje sasa tupo chini ya miguu yako tunaomba utuwekee hapa Nafasi ya Yanga kwenye position ya CAF.Ndio mana nkasema kagoogle huko utayapata yote. 🤣
Mtani mwambie Manara akugugie. 🤣🤣Hahahahahahahahah wengine hatujui hata Google ikoje,Tunafanyaje sasa tupo chini ya miguu yako tunaomba utuwekee hapa Nafasi ya Yanga kwenye position ya CAF.