Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Matokeo ya jana yawe endelevu hata ktk game za primer tumfukuze mtani wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika na tukishinda zilizobaki , tukiwa mechi sawa atakachokuwa katuzidi labda magoli tu.Matokeo ya jana yawe endelevu hata ktk game za primer tumfukuze mtani wetu
Je kama vijana watakuwa wanashusha mvua ya magoli itakuwaje?Hakika na tukishinda zilizobaki , tukiwa mechi sawa atakachokuwa katuzidi labda magoli tu.
Tutakuwa tunaongoza.Je kama vijana watakuwa wanashusha mvua ya magoli itakuwaje?
Match 6 point 13. Una wastani wa kupata point 2 hivi kwa kila match so tulia.
Jifariji tu Mtani.Match 6 point 13. Una wastani wa kupata point 1 hivi kwa kila match so tulia.
Bado sana.