Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
PRISON VS YANGA SASA NI SAMORA IRINGA KESHO.
Bodi ya ligi Tanzania bara imekata mzizi wa fitna kwakuuhamishia mchezo wa Tanzania Prison dhidi ya Yanga katika uwanja wa SAMORA ulioko mkoani iringa.
Uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea Email ya bodi ya ligi inayoelekeza maamuzi hayo mapya juu ya mchezo huo unaotakiwa kuchezwa kesho.
“Ni kweli, match wamepeleka Samora Iringa” lakini bado hatujaridhika”
.
Yanga tayari ilikuwa imeshaanza maandalizi yakurejea daresalaam jioni ya leo ikitoka Mbeya, hivyo kwa mabadiliko hayo timu hiyo inaanza Safari yakuelekea mkoani Iringa.