Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tunawatamani sana. Mapinduzi tukikutana hatutarudia makosa😅😅😅😅 Na hasa ukiangalia Mapinduzi Cup hiyooo.
Namuona Abeid Mziba hapo
Waanaanzaje kutoka sasa Ndugu. Wataonea vidagaa tu huko ambavyo vikipewa miamala tu vinaachia magoli.Wamshukuru sana mganga wao ila Hawa raundi ya pili hawatok
Kwani juzi mlifanya makosa Ses? 😂Yaani tunawatamani sana. Mapinduzi tukikutana hatutarudia makosa
Ndio ni yeye alishayaanza majukumu.Namupna Abeid Mziba hapo
Hiyo ni siri ya kambi Shadeeya, subiri tukutane Mapinduzi ndio utaelewaKwani juzi mlifanya makosa Ses? 😂
Jamaa ni mtu poa sana na enzi zake akijua hasa kucheka na nyavu hasa magoli ya kichwa ila namsikitikia kipindi alichoingia Yanga kama meneja sio kizuri sana, juzi tumewakosakosa na huko mbeleni hatuwawachi aiseeNdio ni yeye alishayaanza majukumu.
😀😀😀Hiyo ni siri ya kambi Shadeeya, subiri tukutane Mapinduzi ndio utaelewa
Sisi SIMBA ni wapumbavu sana,sitaki hata kuiona hii timu kwa sasa.Hiyo ni siri ya kambi Shadeeya, subiri tukutane Mapinduzi ndio utaelewa
Pole Mtani. Ndio ukubwa huo. 😎🤣🤣🤣🤣Sisi SIMBA ni wapumbavu sana,sitaki hata kuiona hii timu kwa sasa.
Tatizo mulijiaminisha nyie ni wa raha tu hakuna wa kuwapa karaha. 😂😂😂Sisi SIMBA ni wapumbavu sana,sitaki hata kuiona hii timu kwa sasa.