Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu jamaa sio siri majuzi alinisurprise kwani sikutarajia kile kiwango.Huyu Fundi kama anaweza kuupanda mpira namna hii huku akifanya movement akikutana na vijitu kama viwawa na vinyoni na vyenyewe si atavipanda tu!?
Kabisa yule mtu anajuaYaani huyu jamaa sio siri majuzi alinisurprise kwani sikutarajia kile kiwango.
Hata zile kona alizokuwa anapiga nyingi zilikuwa na macho.
Niliona sehemu wameandika anasema tusubiri mengi mazuri yanakuja kutoka kwakeFundiii!!
Hata mie naamini hivyo kabisa!Niliona sehemu wameandika anasema tusubiri mengi mazuri yanakuja kutoka kwake
Nimeangalia video youtube huyu jamaa ni balaa sana,nawapa heko viongozi waliofanikisha kumleta ni rahis kuongeza morale kwenye timu ukiwa na mtu kama huyu ,Fundiii!!
Shida ni kwamba je tutaweza kuendeleza uwezo wake, au ndo tutashindwa kumhendo mwishowe aanze kuanguka kama Feisal na makame? Mana hawa wachezaji huwa naamini wana uwezo Mkubwa sana ila wamekosa watu sahihi Wa kuwaendeleza uwezo walionaoNimeangalia video youtube huyu jamaa ni balaa sana,nawapa heko viongozi waliofanikisha kumleta ni rahis kuongeza morale kwenye timu ukiwa na mtu kama huyu ,
Sent using Jamii Forums mobile app