Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujakimbia tupo, kukimbizana tu na shillingi ndio kunatufanya tusionekane humu...Yanga daima mbele, nyuma mwiko....pamoja sanaTafuta ujue wenzio walikokimbilia.
Usiteseke mwenyewe mwenyewe
Hapa wengine watapita kama wanaaga maiti
Watakuwa wanatazama huku wanalia na likitu limewakaba kooni
Hii iwaendee Penison, Sapta Sapta na Van pebles.
MUNAEZA KOPEA MKOPO JAMAANI. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wajikaze tu sababu hakuna namna. 😂😂Watakuwa wanatazama huku wanalia na likitu limewakaba kooni
😀😀😀 jamani Mtani. Lol.Alikuwa anamsuta Shadeeya[emoji1][emoji1][emoji1]
😀😀😀Achana na Yanga mbovu wahi kazini[emoji12]
Ila kwa kocha makini atamkanya apunguze madoidoView attachment 1336461
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HATARI
Kabisa Mtani hata na mie naungana nawe kwani kwa sasa tunafurahia ila siku akifanya mbwembwe zake ambazo zitatugharimu ni lazima tumshushe thamani na kumzodoa juu.Ila kwa kocha makini atamkanya apunguze madoido
MTC | 101| [emoji769]
Dah! Ni vizuri sikumojamoja mtu ukaanza na kicheko kama mimi baada ya kusoma comment yako mkuu🤣🤣🤣Alikuwa anamsuta Shadeeya[emoji1][emoji1][emoji1]
We mpira unajua ,na uhakika kocha hata Jana hakuipenda hyKabisa Mtani hata na mie naungana nawe kwani kwa sasa tunafurahia ila siku akifanya mbwembwe zake ambazo zitatugharimu ni lazima tumshushe thamani na kumzodoa juu.