Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikosi cha wananchi kitakachoanza dhidi ya Tz Prisons
1:Metacha Mnata
2:Juma Abdul
3:Jafary Mohamed
4:Lamine Moro
5:Juma Makapu
6:Abdulazizi Makame
7😀eus Kaseke
8:Haruna Niyonzima
9😀avid Molinga
10:Balama Mapinduzi
11:Benard Morrison
 
NAWAKUMBUSHA TU HIKI NDIO TUMEKIFANYA JANA TAIFA.

20200127_054819.jpg
 
Kabisa Mtani hata na mie naungana nawe kwani kwa sasa tunafurahia ila siku akifanya mbwembwe zake ambazo zitatugharimu ni lazima tumshushe thamani na kumzodoa juu.
We mpira unajua ,na uhakika kocha hata Jana hakuipenda hy

Ila jamaa MTU , hata yule Mzambia Erik nae mkali sana ujue this time Mtani uko vzr

MTC | 101| [emoji769]
 
Back
Top Bottom