Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200201_171630.jpg
 
Nani ana ile picha ya Wallace karia analishwa keki ktk tafrija ya simba akiwa na jezi ya simba airushe hapa
 
Leo Yanga tutaambulia point 1 tu au kukosa kabisa, kwa sababu sisi hatutaki kucheza mpira tunachotaka ni kulalamika tu.
Tucheze mpira wana Yanga wenzangu haya malalamiko hayatatufikisha popote.

Yanga mbele mwiko daima nyuma.
 
Na pia Wanayanga wanaridhika sana mchezaji akitembea juu ya mpira, ushindi hauna maana sana kwao🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom