Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa sababu ni mchezaji mwenye umri Mdogo na inaonyesha kabisa ana potential kubwa sana,ilipaswa tumfunge na mkataba mrefu kidogo halafu kwenye huo mkataba tuweke kipengele cha kumuacha endapo kiwango chake kitashuka sana. Mana kwa hali ya sasa msimu ukiisha anaweza akajitokeza wakala akamchukua bure kabisa akaenda kumtafutia timu Hata nje na sisi tusipate hata sumuni. Au hata timu yoyote inaweza jitokeza na kumpa malisho mazuri zaidi lakini akaenda bure kabisa na sisi tusipate chochote
Kweli kabisa usemalo Bro. Mi nawazia hayi malisho mazuri yanaeza fanya tukawakosa sababu wale mpira ndio kazi zao sasa aezi ng'ang'ana na penye dau dogo wakati kuna sehemu anatakiwa kwa dau kubwa.

Hapa Uongozi ujipange kisawasawa la sivyo tutakuja kubakia na majuto tu.
 
Kwrnye kusainisha mikataba huwa timu zinabugi sana cjui wqnahofia viwango vya wachezaji au majeruhi kiasi wanawasainisha mikataba ya miaka michache
 
Ukiandika simba kwenye Google

Ukiingia Wikipedia inasema simba jina lingine ni queens
Ukingia 'google' ukandika neno 'utopolo fc' inatokea Yanga African SC
Sasa ni rasmi wenye mitandao yao wameitambua Yanga ni UtopoloView attachment 1391597

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200316_211448_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa, huyu jamaa mbali na kiwango duni hana discipline

Waanze na huyu

Waende kwa akina Yikpe na Erick

Wanaitwa professional na mishahara wanalipwa ya ki professional lakini viwango vya ridhaa
Nilishamsahau. Huyu anabebwa na hizo goli zake kadhaa lakini bado hana hadhi ya kuchezea Yanga.

Tulimchukua tu sababu ya nguvu ya buku ila kama GSM atazidi kutushika naye asepe zake tu tutafute mastriker wepesi na wenye akili ya kucheka na nyavu.

Kweli kabisa yaani pale katika wote watatu hamna kitu.

Huwa inaumiza sana saa ingine ukiangalia uchezaji wao sema tu ndio inakuwa hamna namna.
 
Kweli kabisa usemalo Bro. Mi nawazia hayi malisho mazuri yanaeza fanya tukawakosa sababu wale mpira ndio kazi zao sasa aezi ng'ang'ana na penye dau dogo wakati kuna sehemu anatakiwa kwa dau kubwa.

Hapa Uongozi ujipange kisawasawa la sivyo tutakuja kubakia na majuto tu.
Sahihi sana,bora uwe na mkataba nae ili hata ikitokea hataki kubaki unamuuza
 
Kwrnye kusainisha mikataba huwa timu zinabugi sana cjui wqnahofia viwango vya wachezaji au majeruhi kiasi wanawasainisha mikataba ya miaka michache
Ni tatizo tu walilo nalo viongozi wetu. Labda majeruhi ila kwa kesi ya kiwango inawezekana kuweka kipengele cha kumuacha endapo ataporomoka sana kwa masharti nafuu kwa klabu
 
Nilishamsahau. Huyu anabebwa na hizo goli zake kadhaa lakini bado hana hadhi ya kuchezea Yanga.

Tulimchukua tu sababu ya nguvu ya buku ila kama GSM atazidi kutushika naye asepe zake tu tutafute mastriker wepesi na wenye akili ya kucheka na nyavu.
Huyu uongozi ulikuwa ushaachana nae,sema kocha mpya alipofika akaomba wamrudishe ili aje amuone na kumtumia kwa kuwa ndiye mshambuliaji aliyekuwa na magoli mengi zaidi ndani ya klabu. Cha ajabu kakosa shukrani hata huyu mzungu bado anamletea dharau wakati uwezo wake wenyewe ni kisoda
 
Ha ha ha ndio uone sasa. Kama ni kweli inashangaza na Wangekuwa serious sahizi tu wangemshawishi kwa mkataba mwingine mapema tu
Nashangaa sana wakati wapo wanaommendea kwani wanampa sifa kila kukicha na ukiangalia yule Soka ndio kazi yake unadhani akiahidiwa mpunga mrefu kwa majirani ataukataa?

Naona toka jana wanahangaika kumfanyia interview kwamba bado yupo Yanga , sawa hatukatai ila ndio wajiongeze sababu ile ni kauli tu na mwisho wa siku yaeza isiwe na maana pia.

Wakumbuke ya Niyonzima kipindi kile.
 
Kama wametusikia vile Leo. Wajirekebishe sasa sehemu zote walizochemka!
 
Attachments

  • IMG-20200320-WA0016.jpg
    IMG-20200320-WA0016.jpg
    45.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom