Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kweli kabisa usemalo Bro. Mi nawazia hayi malisho mazuri yanaeza fanya tukawakosa sababu wale mpira ndio kazi zao sasa aezi ng'ang'ana na penye dau dogo wakati kuna sehemu anatakiwa kwa dau kubwa.Kwa sababu ni mchezaji mwenye umri Mdogo na inaonyesha kabisa ana potential kubwa sana,ilipaswa tumfunge na mkataba mrefu kidogo halafu kwenye huo mkataba tuweke kipengele cha kumuacha endapo kiwango chake kitashuka sana. Mana kwa hali ya sasa msimu ukiisha anaweza akajitokeza wakala akamchukua bure kabisa akaenda kumtafutia timu Hata nje na sisi tusipate hata sumuni. Au hata timu yoyote inaweza jitokeza na kumpa malisho mazuri zaidi lakini akaenda bure kabisa na sisi tusipate chochote
Hapa Uongozi ujipange kisawasawa la sivyo tutakuja kubakia na majuto tu.