Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kesho uwepo wako na Troisième Ceil nautarajia kama mlivyokuwepo mechi na KMC.MUNGU IBARIKI MWADUI
MUNGU IBARIKI KAGERA SUGAR
Msihame jukwaa tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho uwepo wako na Troisième Ceil nautarajia kama mlivyokuwepo mechi na KMC.MUNGU IBARIKI MWADUI
MUNGU IBARIKI KAGERA SUGAR
Hahahaaa. Lol.Hamna Shadeeya mbona naongelea uhalisia kabisa, Simba tayari pumzi ilishakata ndio maana tukawafunga siku ile unafikiri wangekuwa imara tungewafunga?
Shadeeya usikate tamaa mapema nakuhakikishia tunachukua Ubingwa kwanza timu yetu iko imara sana kuanzia kipa hadi washambuliaji, Simba yale ni mazee tu hayana kitu.
Daima Mbele Clubé Deportivo la utopolo
Na wewe uwepo. 💃💃Acha mbwembwe[emoji16]
Kama nakuona Mtani jinsi unavyojiwazia kwamba na sisi tutakalishwa na mwadui.Acha mbwembwe[emoji16]
Hapo hata kipofu atachagua C.Kati ya wafuatao ni yupi mwenye hati hati ya kupatà Magonjwa makubwa na ya hatari
(A) Mnywa gongo
(B) Mvuta bangi
(C) Kushabikia Yanga.
Usijali Shadeeya kesho nitakuwepo mwanzo mwisho kukufariji.Kesho uwepo wako na Troisième Ceil nautarajia kama mlivyokuwepo mechi na KMC.
Msihame jukwaa tafadhali.
Umefanya nikumbuke ile tarehe nane.Hahahahahahahahah Shadeeya Ana mbwembwe sana timu anayojidaia yenyewe sasa presha muda wote.
Na wewe uwepo. [emoji126][emoji126]
Hahahahahahahahah Shadeeya Ana mbwembwe sana timu anayojidaia yenyewe sasa presha muda wote.
Hahahaaa. Usisepe tu baada ya 90mins.Usijali Shadeeya kesho nitakuwepo mwanzo mwisho kukufariji.
Simba nguvu moja
Shadeeya anafaa sana kuchukua ile nafasi ya Antonio Nugaz🤣🤣🤣Nakuchora tu unavyowadanganya watu[emoji16]
Nawadanganya na nini eti Mtani?Nakuchora tu unavyowadanganya watu[emoji16]
Kama nakuona Mtani jinsi unavyojiwazia kwamba na sisi tutakalishwa na mwadui.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sahauni hilo.
🤣🤣🤣🤣 hiyo nafasi hainifai mana nitawakera sannna. 🤣🤣🤣Shadeeya anafaa sana kuchukua ile nafasi ya Antonio Nugaz🤣🤣🤣
Hakika Mtani. Yamebakia masaa tu sasa.Kesho siyo mbali tuombe uzima tu