Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hamna Shadeeya mbona naongelea uhalisia kabisa, Simba tayari pumzi ilishakata ndio maana tukawafunga siku ile unafikiri wangekuwa imara tungewafunga?
Shadeeya usikate tamaa mapema nakuhakikishia tunachukua Ubingwa kwanza timu yetu iko imara sana kuanzia kipa hadi washambuliaji, Simba yale ni mazee tu hayana kitu.

Daima Mbele Clubé Deportivo la utopolo
Hahahaaa. Lol.

Young_Africans_SC_(logo).png

 
Hahahahahahahahah Shadeeya Ana mbwembwe sana timu anayojidaia yenyewe sasa presha muda wote.
Umefanya nikumbuke ile tarehe nane.

Mana saa natoka home naenda Taifa nimevaa jezi ya Timu ya wananchi kuna mtu ananiambia Dada usije ukaenda kuzimia tu huko. 😀😀 Nikamwambia hamna kitu kama hicho.

Sasa we tudharau tu.
 
Back
Top Bottom