kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Ndugu yangu ni kweli mlimpa midolali elfu 5 ya bwerere mwamba Morrison?Hatimae leo umepata mtetezi[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu ni kweli mlimpa midolali elfu 5 ya bwerere mwamba Morrison?Hatimae leo umepata mtetezi[emoji23]
Ndugu yangu ni kweli mlimpa midolali elfu 5 ya bwerere mwamba Morrison?
Hapo kwenye termination ndipo Yanga tunapowasubiri ma don kwenye himaya yetu, ila kwa bahati mbaya madon wenyewe wanakula kona ha ha ha haManeno ya kujilinda tu club nyingine zisisogee hapo, Mchezaji mwenyewe keshasema hajasaini na kaweka wazi nia yake ya kuondoka (let's assume amesaini, anataka ondoka, watu wana terminate tu )
Hahahahaaaaa. LolNataka nimkere ili kesho asiingie jf mapema[emoji1]
Mpiga picha kashindwa kufotoa kutokana na njaa. Sasa Shadeeya atazipata wapi? 🐸😀Leo hutumi picha za wachezaji wakiwa wanafanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wenyewe ni wanyonge wa Mo au hulijui hilo Mtani?Sisi ndo watetezi wa wanyonge[emoji16]
😀😀Usisahau kutaja sifa za kila mchezaji kama kawaida yako[emoji16]
Mpiga picha kashindwa kufotoa kutokana na njaa. Sasa Shadeeya atazipata wapi? [emoji196][emoji3]
Nyie wenyewe ni wanyonge wa Mo au hulijui hilo Mtani?
Wanakula kona na kukataa vyeo vyao walivyojitambulisha navyo. 😀😀😀Hapo kwenye termination ndipo Yanga tunapowasubiri ma don kwenye himaya yetu, ila kwa bahati mbaya madon wenyewe wanakula kona ha ha ha ha
Ndugu wajinga ndo waliwao. Teh tehNdugu yangu ni kweli mlimpa midolali elfu 5 ya bwerere mwamba Morrison?
Kama ni kweli alisaini mkataba wa miaka miwili Afuate sheria za kuvunja mkataba avunje aende zakeYes!! Hata na mie nimeliona hilo Mkuu.
Ni vyema akaachwa aje huko kwenu mana naona anazuzua tu watu sababu haiwezekani mtu asaini halafu anahojiwa aseme haja saini ni dhahiri si mkaaji yule .
Kabisaaa!! Siku zote Yanga ipo na itaendelea kuwepo.Kama ni kweli alisaini mkataba wa miaka miwili Afuate sheria za kuvunja mkataba avunje aende zake
Ndugu wajinga ndo waliwao. Teh teh
Hata kama hujakubali ukweli no huo hivyo hata na sisi tukiwa wanyonge kwa GSM mtuliage tu kwa kweli.Halafu tunaongoza ligi[emoji16]
Kama ni kweli alisaini mkataba wa miaka miwili Afuate sheria za kuvunja mkataba avunje aende zake
Kabisaaa!! Siku zote Yanga ipo na itaendelea kuwepo.
Wamepita Manguli wangapi ije kuwa Morison niseme tu kama anataka kuenda afuate huo utaratibu basi kisha asepe zake.
Hata kama hujakubali ukweli no huo hivyo hata na sisi tukiwa wanyonge kwa GSM mtuliage tu kwa kweli.