Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Maneno ya kujilinda tu club nyingine zisisogee hapo, Mchezaji mwenyewe keshasema hajasaini na kaweka wazi nia yake ya kuondoka (let's assume amesaini, anataka ondoka, watu wana terminate tu )
Hapo kwenye termination ndipo Yanga tunapowasubiri ma don kwenye himaya yetu, ila kwa bahati mbaya madon wenyewe wanakula kona ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom