kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Sawa,muda ni muamuzi mzuri sana,ila tunasikitika msimu huu kwenye ligi mnyonge wetu pekee ktk timu kubwa ni SimbaHampati kitu nyie jitulizeni tu[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,muda ni muamuzi mzuri sana,ila tunasikitika msimu huu kwenye ligi mnyonge wetu pekee ktk timu kubwa ni SimbaHampati kitu nyie jitulizeni tu[emoji1]
Dah nyie mnaongoza ligi sisi wengine tunagombania nafasi ya nne na akina Namungo, maisha haya.😷Halafu tunaongoza ligi[emoji16]
Sawa,muda ni muamuzi mzuri sana,ila tunasikitika msimu huu kwenye ligi mnyonge wetu pekee ktk timu kubwa ni Simba
Dah nyie mnaongoza ligi sisi wengine tunagombania nafasi ya nne na akina Namungo, maisha haya.[emoji40]
Mbona haya nyie pia mmeshayafanya sana huko nyuma au mshasahau Mtani?Dah nyie mnaongoza ligi sisi wengine tunagombania nafasi ya nne na akina Namungo, maisha haya.😷
Of course ukiiondoa Yanga Simba ni kubwaNashukuru kwa kutambua Simba Ni Timu Kubwa Nchini Tanzania[emoji1241][emoji106]
Umeshasahau kwamba kuna mwaka ulimaliza ligi ukiwa mkiani kabisa huko. 😎😎Mpaka ligi inaisha nafasi yao ni ya saba
Wamesahau kuwa wao ndiyo waasisi wa hali kama hii ha ha haMbona haya nyie pia mmeyafanya sana huko nyuma au mshasahau Mtani?
Mbona haya nyie pia mmeshayafanya sana huko nyuma au mshasahau Mtani?
Of course ukiiondoa Yanga Simba ni kubwa
Kuanzia kuanzishwa mpaka makombe ambayo tumenyakua.Of course ukiiondoa Yanga Simba ni kubwa
Umeshasahau kwamba kuna mwaka ulimaliza ligi ukiwa mkiani kabisa huko. 😎😎
Haya basi Shadeeya nimekumbuka.😀😀Mbona haya nyie pia mmeshayafanya sana huko nyuma au mshasahau Mtani?
Watupishage sisi hasa baada ya hizo points zao wanazotambia ambazo nyingi ni za kununua. Au wanajua hatuyafahamu hayo?Wamesahau kuwa wao ndiyo waasisi wa hali kama hii ha ha ha
Wamesahau kuwa wao ndiyo waasisi wa hali kama hii ha ha ha
Hahahahaaa. Nimecheka. lolHaya basi Shadeeya nimekumbuka.😀😀
Haya basi Shadeeya nimekumbuka.[emoji3][emoji3]
Tushajua unapotagetia kweendddraaaaaa. Hatuileti leo subiria kwenye kideo utaiona. 😀😀😀Acheni kelele tumeni list ya wachezaji watakaoanza[emoji3]
Watupishage sisi hasa baada ya hizo points zao wanazotambia ambazo nyingi ni za kununua. Au wanajua hatuyafahamu hayo?
Semeni mnapumzika mkiwaza yatakayoendelea Mbeya. 😎Tumuache apumzike kidogo[emoji3][emoji3][emoji3]