Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nimeelewa Shadeeya kwanini wachezaji wenu kina Molinga na wenzake wanaongezeka uzito na kutengeneza vitambi kila uchwao. Rolimodo wao ni huyu Makamu Mwenyekiti wenu Mwakalebela, wanatamani kua kama yeye😀😀😀
Karamu ya bwana iliyoandaliwa mezani imehitimishwa!Simba nguvu moja
Mtu akiona mnapost hizi picha kwa Mara ya kwanza anaweza akadhani huwa mnashinda na mmebeba ubingwa kihalali.Simba anaunguruma kwa mwaka wa tatu mtawalia.
NGGRRIIIIIIIIIII
Mbumbumbu leo wameerevuka kiasi. Wamegoma kupanda lori la kubebea ng'ombe na kuzungushwa mjiniMBUMBUMBU FC NI WA AJABU SANA. WAMEFIKIA KIPINDI WANATUPANGIA HADI NAMNA YA KUWATUMIA WACHEZAJI WETU. WANASEMA OOH MORRISON SI AMEFUNGIWA!! SASA ALIYEMFUNGIA NI NANI NA ALIYEMFUNGULIA NI NANI!? KAMA WANAPENDEZEWA KUONA AMEFUNGIWA BASI WATUACHE TUMCHEZESHE DHIDI YAO KWANZA HALAFU TUTAMFUNGIA TENA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna wakati signal huwa zinajaribu kusoma!Mbumbumbu leo wameerevuka kiasi. Wamegoma kupanda lori la kubebea ng'ombe na kuzungushwa mjini
Hebu tuache. 😔Sasa nimeelewa Shadeeya kwanini wachezaji wenu kina Molinga na wenzake wanaongezeka uzito na kutengeneza vitambi kila uchwao. Rolimodo wao ni huyu Makamu Mwenyekiti wenu Mwakalebela, wanatamani kua kama yeye😀😀😀
Two deiz rimeiningiHebu tuache. 😔
Hahahaaaa.Mtu akiona mnapost hizi picha kwa Mara ya kwanza anaweza akadhani huwa mnashinda na mmebeba ubingwa kihalali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameze wembe. 😀😀
HAHAHAAAA. WANAHANGAIKA TU SASA.MBUMBUMBU FC NI WA AJABU SANA. WAMEFIKIA KIPINDI WANATUPANGIA HADI NAMNA YA KUWATUMIA WACHEZAJI WETU. WANASEMA OOH MORRISON SI AMEFUNGIWA!! SASA ALIYEMFUNGIA NI NANI NA ALIYEMFUNGULIA NI NANI!? KAMA WANAPENDEZEWA KUONA AMEFUNGIWA BASI WATUACHE TUMCHEZESHE DHIDI YAO KWANZA HALAFU TUTAMFUNGIA TENA!!
Sent using Jamii Forums mobile app