Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana


Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
dah! mkuu mimi mwenyewe najiuliza maswali kama yako.
Mwisho wa siku naanza kuelewa kwanini miaka nenda rudi soka letu halikui tunabakia kwenye nafasi za 130+.

Hatuna viongozi wenye mapenzi na maendeleo ya soka letu.
 
Mimi nimesema

Mbwa jike anayetoa ute nyuma, hutumia mbinu nyingi kuvutia madume

Nimesema mimi

Ila legendary Rage alisema simba ni mbumbumbu (huyu ni aliyekuwa mwenyekiti wa simba mbumbumbu na kwa sasa mwanachama wao)
Na kocha wenu alieondoka akasema nyie ni manyani, mnabweka kama umbwa, hamuelew chochote kuhusu mpira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unasemaje da po [emoji3]
Na kocha wenu alieondoka akasema nyie ni manyani, mnabweka kama umbwa, hamuelew chochote kuhusu mpira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mikia wamejibebea jambazi na mwizi wa magari. Ngoja aje apite na lile rover la mo apotelee kusiko julikana
 
Uzinduzi wa tawi jipya la Yanga la Kijiwe Samli, Kiwalani Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz na Mwenyekiti wa Kamati ya Matawi na Wanachama, Saed Khimji wametoa wito kwa wanaYanga kusajili rasmi makundi yao kama matawi yanayotambulika na Uongozi.
20200809_064246.jpg
 
Back
Top Bottom