kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
dah! mkuu mimi mwenyewe najiuliza maswali kama yako.Hii ni tafsiri kwamba,...! Simba wanaijua hukumu itakayotoka pale TFF siku ya jumatatu,...!
Soka letu linakwenda wapi??... Mchezaji ana mgogoro wa kimkataba na timu,A,..hukumu,yake bado haijatoka,...ti
mu B inamtangaza kumsajiri,.....! Hapa kuna mambo mazito saaaaaaana yamejificha,...! Rais wa TFF,..upo,....! Watendaji wa TFF mpo wakati haya yanatendeka,....! Mtajisafisha kwa sabuni gani ili sisi watu wa Yanga tuwe na imani,na nyie tena ???... huu ndio utawala wa ukweli na uwazi mh KARIA ??...Au,umekuja kufukua makaburi ya akina Twite???... Ni lini hasa U simba na U,yanga utaisha nchi,hii??
Sipingi Morison kutangazwa na Simba kuwa wamemsajili......! Ila kinachonipa mashaka,...! Je ,.kuna ukweli,kuwa hukumu ya kesi hiyo tayari Simba wanayo mkononi kwa sasa???... Ni kwa nini wasingesubiri tar 11 kumtangaza mara baada ya kuhumu,yake kusomwa tar 10???... TFF mnakuja kumsomea nani hukumu,yenu wakati tayari mazingira yanaonesha hukumu yenu kuna watu tayari wanayo???...
Pamoja na maswali,yangu,haya,....! Niwapongeze Simba na TFF pia,...!Mmepata jembe...!
Hongereni saaaana
Huyu[emoji1369] jamaa anajiuliza maswali ninayojiuliza
Mwisho wa siku naanza kuelewa kwanini miaka nenda rudi soka letu halikui tunabakia kwenye nafasi za 130+.
Hatuna viongozi wenye mapenzi na maendeleo ya soka letu.