Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umeyajulia wapi haya? 🤔Tayari mmeshaanza kumshindisha kwa mihogo mtoto wa watu mtani [emoji2369][emoji2369]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeyajulia wapi haya? 🤔Tayari mmeshaanza kumshindisha kwa mihogo mtoto wa watu mtani [emoji2369][emoji2369]
Wazee wa tetesi yaani wakisikia tetesi tu basi wao mbiio kusajili. 😂Wameingizwa chakaaaaView attachment 1538332
Inamana Zambia nzima mchezaji ni Bwalya? Au ndio unawalisha viongozi wetu maneno?Mnadanganywa kama watoto na mnakubali, nawaambia daily hapa, muwe makini na hao jamaa zenu
Ukianza hizo picha, tokea jana watu wenu wako. Zambia, Nugaz alienda airport kupokea mchezaj
...na hata baaada ya kufeli akajibu mshabiki wa Yanga kama unavyoona hapo chini, ni masa Zaid ya matatu sasa yamekatika huyo mtu hajatua,
Safari hii mmepata viongoz, wanawachezea wanavyotaka View attachment 1538343View attachment 1538344View attachment 1538345View attachment 1538346
Hahahaaa. Mie Alhamdulillah Mtani.Mtani ni wiki sasa hujapost kitu humu, natumaini kwamba unaendelea vizuri.
Hizi taarifa za Simba kumtangaza mchezaji mliyemfata Zambia nadhani utakuwa nazo, vipi unasemaje kuhusu hili?
Sio Barcelona tena? 😂😂😂😂Nyie Utopolo kama mnavyojua Simba sc ndio Bayern Munichen ya hapa Tanzania, hivyo nitoe rai kwenu kuwa tunataka kufanya kile kilichomkuta Barcelona hivyo mjiandae kisaikolojia.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Shadeeya
Tunasajili ila nadhani this week mambo yatakuwa hadharani Mtani.Mtani mbn sioni mkisajiri au mnasikilizia kwanza
😂😂😂 Tatizo lililopo wanaona wakitupia habari zao kule sisi zitachelewa kutufikia. 😂😂😂😂Hivi mikia kwani hamna uzi wenu
[emoji3525][emoji3525][emoji35][emoji34]
Maana navyojua kila kitu kiko mezani, tena nasikia Raol Shungu anasaidia kupata wachezajiTunasajili ila nadhani this week mambo yatakuwa hadharani Mtani.
Oooh!! Tuliwaacha kwanza hawa waliokuwa wanakejeli yanga kusajili wachezaji zaidi ya watano cha ajabu wao wanaelekea kufikisha 08. 😂😂Maana navyojua kila kitu kiko mezani, tena nasikia Raol Shungu anasaidia kupata wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Baada ya kupigwa goli nane naona mnajikataa. LolNyie Utopolo kama mnavyojua Simba sc ndio Bayern Munichen ya hapa Tanzania, hivyo nitoe rai kwenu kuwa tunataka kufanya kile kilichomkuta Barcelona hivyo mjiandae kisaikolojia.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Shadeeya
Hahahaaa. Mie Alhamdulillah Mtani.
Ninazo ila nirudie tu ile kauli ya Bumbuli kwamba nyie mnasajili kwa tetesi mnazozisikia mitandaoni na magazetini kuhusu Yanga na kiukweli hatukuwa tukimuhitaji huyo Bwalya. Teh teh
Utazipata Mtani japo kwa sasa anga limetulia hivyo mjiandae mana tunaanza kuwashusha mmoja mmoja. lolAfadhali umerudi utupe update za kesi ya Morrison huko FIFA.
Bwalya tumeshamalizana naye.
Utazipata Mtani japo kwa sasa anga limetulia hivyo mjiandae mana tunaanza kuwashusha mmoja mmoja. lol
Hongereni kwa kukusanya Mtani.
Hahahaaa. Kwa sasa kejeli zenu zote tunazipokea Mtani.Nimekuelewa hapo kwa Bwalya.
Hongereni kwa usajili mwingine, nimesikia mmemsajili aliyekuwa dreva wa Senzo.
Hahahaaa. Kwa sasa kejeli zenu zote tunazipokea Mtani.
Kama ni kweli sio mbaya.Mtani hiyo taarifa nimesikia ni kweli, Senzo alihitaji aje na watu wake. Na huyo dreva ndiye mtu wake muhimu imebidi mmchukue.
Tunasubiri kuyaona majina mnayosajili mtani, sisi tunaendeleza kufanya yetu.