Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mtani sina.
Hapana Mtani sina.
Hamna bana Mtani kama sikosei walisema mzigo umechelewa kufika.Nasikia mpaka za zamani ziishe, ndo mtauziwa mpya.
Za zamani mbona tumezinunua sana. Inamana hazijaisha tu. LolNasikia mpaka za zamani ziishe, ndo mtauziwa mpya.
Majaribio ??? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yale yale ya BM.. salama yenu wasifanye vizuri, wakifanya vyema tu mtaambulia manyoyaWeeee!! [emoji848]
Apia!
Kumejaa ndio lugha ya wapi nyie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata sijaelewa kitu Mtani.Majaribio ??? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yale yale ya BM.. salama yenu wasifanye vizuri, wakifanya vyema tu mtaambulia manyoyaView attachment 1552067
Utaelewa tu hasa pale tutakapoujaza na Uwanja wa Chamazi. 😀😀😀Kumejaa ndio lugha ya wapi nyie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Bado kule kwa elfu 5 kukijaa tutaomba na uwanja wa uhuru
Kabisaaa. Na ukijaa nao ikibidi tutaomba na ule wa Chamazi. 😂😂😂Bado kule kwa elfu 5 kukijaa tutaomba na uwanja wa uhuru
soma Tena utaelewa tu, hao kina Tuisila wako hapa kufanya majaribioHata sijaelewa kitu Mtani.
Na pia huwa naamini hizi story zikitokaga Officially na sio namna hii.
tunaandikaga SOLD OUT sio KUMEJAA au ZIMEISHA [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utaelewa tu hasa pale tutakapoujaza na Uwanja wa Chamazi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakibisha tunaujaza na Mo arenaKabisaaa. Na ukijaa nao ikibidi tutaomba na ule wa Chamazi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi kawataja au ndio umehisi tu?soma Tena utaelewa tu, hao kina Tuisila wako hapa kufanya majaribio
Kiswahili kilichonyooka peleka Msimbazi huko. 🤣tunaandikaga SOLD OUT sio KUMEJAA au ZIMEISHA [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Eewaaaaa!!! We waache tu wacheze na Timu ya Wananchi. 😂😂Wakibisha tunaujaza na Mo arena
Za zamani mbona tumezinunua sana. Inamana hazijaisha tu. Lol