Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200829_174710.jpg
 
Kumejaa ndio lugha ya wapi nyie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Utaelewa tu hasa pale tutakapoujaza na Uwanja wa Chamazi. 😀😀😀
 
tunaandikaga SOLD OUT sio KUMEJAA au ZIMEISHA [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kiswahili kilichonyooka peleka Msimbazi huko. 🤣

Nadhani kikubwa kuelewa tu Mtani na ndio sababu kama wewe umeelewa barrrabarrra.
 
Yaani Yanga wamegoma kutuonyesha tamasha lao kupitia TV! Au ndio mkakati wakuhakikisha wanaujaza uwanja leo?

Vv
 
Back
Top Bottom