Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagera wanatumia nguvu sana haitakiwi Fernandes kuingia coz hana nguvu na si mkabaji. Farid alipaswa kuwepo benchi. Ila nchimbi anahitajika pia humuFaisal+Kisinda out, Carlinhos+Niyonzima In... Hapa tutatoboa
Ni kweli japo nadhani tunavyozidi kusonga mbele tutabadilika tu Mtani.mtani bado kikosi chenu hakijatulia kabisa, tokea mmeanza ligi mmekutana na nyasi bandia tu, ngoja mkutane na zile nyasi za kulishia ng'ombe ndo mtajua ugumu wa mechi ulivyo
Yaani kama Tuisila ana pupa mbaya yaani pa kutoa pasi basi ye anapiga.Hii mipira ya juu Yanga inaniudhi mm cjui tutaacha lini, mbn Fei Toto katulia hawa wengine wakipata tu wanataka kuwahi kwenda mbele matokeo yake wanapoteza mipira kizembe kabisa.
Ngj tuone kipindi cha pili huenda kocha atawaambia.
Mi hata sielewi naona tumejazana tu.
Mtashinda na njaa si ndio Shadeeya.Yaani kama Tuisila ana pupa mbaya yaani pa kutoa pasi basi ye anapiga.
Hapa inabidi kukaza sana ili kushinda hii mechi aisee.
Unasemaaa? 🤣🤣🤣Mtashinda na njaa si ndio Shadeeya.