Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii mipira ya juu Yanga inaniudhi mm cjui tutaacha lini, mbn Fei Toto katulia hawa wengine wakipata tu wanataka kuwahi kwenda mbele matokeo yake wanapoteza mipira kizembe kabisa.

Ngj tuone kipindi cha pili huenda kocha atawaambia.
Yaani kama Tuisila ana pupa mbaya yaani pa kutoa pasi basi ye anapiga.

Hapa inabidi kukaza sana ili kushinda hii mechi aisee.
 
Aisee hii ni ligi ya mkoa au? Daah pira bovu kabisa
Shadeeya
IMG-20191204-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom