mshilakule
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 280
- 227
Uwafunge wauza mayai harafu uhisi na ww una team....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe umeona eeh, yaani Calinho kapiga faulo na kona tu kawa MTM kelele nyingi*Nilichogundua ni kuwa tumewazoea sana Simba, maana nawaza*
1.Angefanya calinhos aliyofanya Chama (Goli 2 Assist Moja), kusingekalika humu, kama aliingia dk ya 80 akapiga faulo na kona tu akawa man of the match, ingekuwaje Jana ndio kacheza km Chama Je??
2.Zile fujo za Mzamiru angezifanya Mukoko humu pasingetosha
3. Zile Driblling na kasi ya shabalala angezifanya yule yassin sijui ingekuwaje humu.
4.Zile pasi 3 za konde boy za mabao angezipiga tuisila sijui ingekuwaje tu.
5.Vile vichwa na ukabaji wa Onyango ungefanywa na Mwamnyeto,tungekoma humu
6.Lile goli la Mugalu lingefungwa na Sapong nadhani angebebwa toka taifa hadi kigamboni.kama alifunga tu goli la piga nikupige akasifiwa wiki nzma,je lile la utulivu LA Mugalu?.
*NB: Tumewazoea sana hawa Simba, nadhani siyo level ya kucheza na timu za bongo pale kwa mkapa,ndio maana hatuwashangai sana*.
Pale walikuwa wanakomboa jamaa.Kuna sehemu alichomoka golini kwenda kufuata mpira halafu akiwa njiani akasita kidogo kabla hajaamua kwenda mazima na alipoenda akaukosa mpira aisee
Na kwa wachezaji alionao hana sababu ya kuucha kucheza mpira mzuriSiyo Jana tu ndugu hadi sasa hatuelewi ni mwalimu Wa namna gani mana timu haijaonyesha inatumia falsafa zipi
Umeona uwanja wa taifa unavyotumika?Hahahahaaa. Lol.
Carlinho tunamuoverrate sana ila bado hajawa fiti kama anavyozungumziwa,kocha naye ni kama hana mipango pia imagine game yetu kabla ya hii ya juzi timu ilishindwa kudeliver kwa maana mipira ilikua haiwafikii strikers na tulikosa muunganiko pale kati ilibidi ilibidi tuongeze kiungo cha kati (Mauya) alikua nje badala yake akatoka kiungo wa kati akaingia sijui Kaseke....bahati ilikua tu upande wetu tukapata matokeo.Mkuu kumbe umeona eeh, yaani Calinho kapiga faulo na kona tu kawa MTM kelele nyingi
Wewe ndio definition sahihi ya shabiki halisi wa sokaCarlinho tunamuoverrate sana ila bado hajawa fiti kama anavyozungumziwa,kocha naye ni kama hana mipango pia imagine game yetu kabla ya hii ya juzi timu ilishindwa kudeliver kwa maana mipira ilikua haiwafikii strikers na tulikosa muunganiko pale kati ilibidi ilibidi tuongeze kiungo cha kati (Mauya) alikua nje badala yake akatoka kiungo wa kati akaingia sijui Kaseke....bahati ilikua tu upande wetu tukapata matokeo.
Hii game ya juzi tulijitahidi kidogo kumiliki mpira ila tulishindwa kufanya pressing ndio wakati ambao tulimuhitaji Niyonzima ili apenyeze mipira kupitia kati kwa maana wings zilikosa ubunifu hata kina Yassin hawakua na madhara ukizingatia krosi zote kutokea pembeni waliziwin kagera in short waliwin mipira karibu yote ya juu ila ni km kocha anaamka tu na mawazo yake kabisa leo kikosi kitaanza hv zen nafanya sub ya fulani na fulani bila kutumia ufundi wowote kutegemea na hali halisi ya mchezo...inatia shaka sana hususani kwa upande wa kocha na still hapo bado hatujaanza kudaiana mishahara maana timu yetu tunaijua wnyw
Unajua mkuu timu hata ikifungwa ila mtu unakubaliana na matokeo bila kinyongo kulingana na inavyocheza kwa malengo ila sisi tunapata ushindi lkn unashindwa kuelewa plan ya timu ilikua nini? Mfano mpira waliopiga watani jana na namna walivyokua wanaelewana hata wangefungwa ila kuna kitu unakiona.... Bado nina wasiwasi na kocha na hata Carlinhos binafsi naona anastahili kuingia kuanzia dk70 tena timu ikiwa ishapata matokeo ya kuridhisha.... Kupiga kona mipira yote iliyokufa kwa timu yako peke yako haijalishi upande upi yani kona iwe upande wa kulia au kushoto na faulo za mbali hadi karibu ukabahatisha kuhusika katika goli moja bado ni tatizo na mchezaji yeyote anaweza kufanyaWewe ndio definition sahihi ya shabiki halisi wa soka
Mikia fc wamekaaa kibwabwa bwabwa.Kwa nini hawa Simba wanapenda kututishia sisi Yanga? Kwani wangeshinda 1 wangepungukiwa nini hawa Jamaa? 😐
Ni ukweli mchungu yanga kwa sasa wanatakiwa kujikita katika kutengeneza timu na waondoe dhana ya kujifananisha na simba ikiwa unataka au hiutaki simba wako mbele ya yanga kwa sasaUnajua mkuu timu hata ikifungwa ila mtu unakubaliana na matokeo bila kinyongo kulingana na inavyocheza kwa malengo ila sisi tunapata ushindi lkn unashindwa kuelewa plan ya timu ilikua nini? Mfano mpira waliopiga watani jana na namna walivyokua wanaelewana hata wangefungwa ila kuna kitu unakiona.... Bado nina wasiwasi na kocha na hata Carlinhos binafsi naona anastahili kuingia kuanzia dk70 tena timu ikiwa ishapata matokeo ya kuridhisha.... Kupiga kona mipira yote iliyokufa kwa timu yako peke yako haijalishi upande upi yani kona iwe upande wa kulia au kushoto na faulo za mbali hadi karibu ukabahatisha kuhusika katika goli moja bado ni tatizo na mchezaji yeyote anaweza kufanya
Mmh!! Sasa walicheza kitu gani wale Biashara?Umeona uwanja wa taifa unavyotumika?
Hebu tuache. 😎😎Kwa nini hawa Simba wanapenda kututishia sisi Yanga? Kwani wangeshinda 1 wangepungukiwa nini hawa Jamaa? 😐
Biashara wamepigwa 4 unaona haishangazi. Utopolo mlifungwa hizo hizo, inabidi usishangae piaMmh!! Sasa walicheza kitu gani wale Biashara?
Pale hata 10 mlikuwa mnafunga.