Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani kwani na wewe ni sehemu ya wanaozivaa?Hivi hamnaga jezi za mzoezi au stock haijaisha[emoji1787][emoji23]
[emoji1787]Mtani kwani na wewe ni sehemu ya wanaozivaa?
Kweli mnaamini wazee wenu. Kile kibabu nacho kinafanya muongee hivi?*Chukua*
*Tonombe*
*Kisinda*
*Carlinho kisha Saga kwenye brenda kwa dakika 20*
*Ongeza Fei toto *Mapinduzi Balamba na Sarpong kwa dakika 10*
*Ongeza na Nimenyoa na Senzo Saga kwa dakika 5 **UTAMPATA CLETUS CHAMA .
Mtibwa ni kubwa kuliko AS VITAHuyo wa kunyanyasa timu ndogo. Mtibwa tu walimtoa nnya.
kama anawaambia ukimuona Luis Miquissone hapa we kimbia uvunjike
Yanga, As Vita, Nkana, zote ni ndogo kuliko Mtibwa sugarWanajisahaulisha tu shemela.
Wachaaa!!!Yanga, As Vita, Nkana, zote ni ndogo kuliko Mtibwa sugar
Nyinyi woote ni wahanga wa huyu mtu, hamto msahau kamwe,Wachaaa!!!
Unaongea nini NTANI mbona sijakuelewa?Nyinyi woote ni wahanga wa huyu mtu, hamto msahau kamwe,
Nkana, goli la kisigino tukaingia Champions league group stage
AS VITA, goli dakika za mwsho tukaingia Robo final
Nyie juz tu hapo, goli la Fraga katengeneza na kawapiga pia goli la pili
Kwasababu hakuigusa Mtibwa, basi mtibwa ni kubwa kuliko nyie, manake mnasema mchezaj wa mechi ndogo
Mara hii unajisahaulisha sio?Unaongea nini NTANI mbona sijakuelewa?
Na jumapili mujiandae kwa sapuraizzz kama lile tulilomfanyia Kagera.Wakuu tumejiandaaje na kichapo cha Jumapili mbele ya Mtibwa sugar? Maana hili litimu letu bado ni bovu sana halina hata muunganiko linacheza cheza tu kama kuku aliyekatwa kichwa.😬
Shadeeya
🤣Mara hii unajisahaulisha sio?